Joe Milla
JF-Expert Member
- Jul 28, 2014
- 1,622
- 2,897
Anakijenga kighorofa chake mtaani kwao now. Nadhani maboss pia wanampa tough kimtindo.Maana anatangazaga Yas na Asas. Wale Palm Village wamempa apartment.
Anakijenga kighorofa chake mtaani kwao now. Nadhani maboss pia wanampa tough kimtindo.Maana anatangazaga Yas na Asas. Wale Palm Village wamempa apartment.
Hoja ukiiona itaijua?
Nikushambulie wee nzi wa chooni uswahilini mimi kwanza nitakujulia wapi?
Nakupeleka kwenye ignore list yangu kuanzia hapa sitaona unachoandika.
Usipate sababu ya kulialia nakushambulia wakati hata sikujui ndiyo kwanza nakuona leo, na sikujui.
Nikushambulie kwa mavi gani uliyonayo?
Kama ushawahi kuvuta sigara au kunywa pombe kali bei ya figo moja haitoshi kuvuta hiyo mashine kwa sababu ubora wa figo utakua umeshapungua. Hapo sasa utatakiwa kuuza figo zote mbiliMkuu hii mashine, Kwa degree yanguu hii siwezi kubeba labda niuze figo.
Mzee kama unataka hela zaidi, uza figo zote mbili upate 90M. 😁
Mkuu tunazungumzia Range Rover kama mtoa mada alivyosema sio tu Range Rover bali Range Rover Vitasa Vyake Vimeingia kwa Ndani.Nafikiri ifike mahala, watu wajue tunaishi ulimwengu wa tatu hivyo sio sawa kulazimisha kuishi maisha ambayo hatujafikia.
Tabia ya watu flan flan, kulazimisha kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza inawafanya wafanye mengi yasiyompendeza Mungu ili kufikia malengo yao.
Umewahi kujiuliza unaishi hapa duniani kwa takriban miaka 80 (pengine umeshamaliza 50 au 60 tayari) ambapo iliyobakia ni michache sana ukilinganisha na pengine na waliokufa miaka 1000 na zaidi iliyopita (Umewahi kujiuliza hao waliokufa wapo wapi na wanapitia wakati gani kutokana na matendo yao hapa Duniani?)
Sasa kwa nini utende yasiyofaa kwa wengine ili utajirike na kunufaika na huo utajiri pengine kwa miaka 20 au 30 iliyobakia kwenye maisha yako halafu ukifa ukasote kwa Mungu pengine kwa zaidi ya miaka 1000???
Hapo kama sifa ndo hizo. Niachane tu na mpango wenyewe.Ubora utakuwa umepunguaKama ushawahi kuvuta sigara au kunywa pombe kali bei ya figo moja haitoshi kuvuta hiyo mashine kwa sababu ubora wa figo utakua umeshapungua. Hapo sasa utatakiwa kuuza figo zote mbili
Gari Kama hii Iki haribika Unaitengenizea WapiUkiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
View attachment 3574907
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
View attachment 3574910
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
View attachment 3574911
Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
Hivi disadvantages za RR ni zipi haswa. Nazielewa sana hizi gari. Somewhere along the way lazima ninunue hii gariBentayga au?
RR me nazielewa, sema nje ya budget na reliability ni tatizo.
Nchi za wenzetu hawanuni cash izo gari, wanalease.
Bongo hii huduma haipo kabisa.
Au uitoe kafara.Raisi wa ma jobless pro max labda niuze misukule tu
Mkuu, ukifika hizo level wala hakuna disadvantage. Disadvantage huwa zinawahusu wale ambao wanalazimisha kumiliki magari ya aina hii ila bado so wana wasiwasi likipata hitilafu itakuaje.Hivi disadvantages za RR ni zipi haswa. Nazielewa sana hizi gari. Somewhere along the way lazima ninunue hii gari
Hili nalo neno, congo hiyoo !Au uitoe kafara.
Figo yako inayochuja gongo itakuwa rejectedMkuu hii mashine, Kwa degree yanguu hii siwezi kubeba labda niuze figo.
Chapu tu, unamiliki range lako afu usiku hakuna kulala unapambana na kelele za mizimu ya misukule.Hili nalo neno, congo hiyoo !
Ghafla ianze kukushika, kudadadekiChapu tu, unamiliki range lako afu usiku hakuna kulala unapambana na kelele za mizimu ya misukule.
Inataka lift ya range irudi makaburini kabla hakujakucha.Ghafla ianze kukushika, kudadadeki
Huku ikiimba chite chite ukae, ahaa chite ukaeInataka lift ya range irudi makaburini kabla hakujakucha.
HahahaHuku ikiimba chite chite ukae, ahaa chite ukae
Kwenye seat 6, 3 za misukuleHahaha
Lakini una range.Kwenye seat 6, 3 za misukule