Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Mungu hii nyeusi hapa
 

Attachments

  • IMG_1763.png
    IMG_1763.png
    1.1 MB · Views: 24
Hii ukiamua unaendesha.
Kwa mara ya kwanza 2 au mwaka na nusu uliopita kama sikosei
Nilishuka pale dodoma sgr kipimdi ndo inaanza
Nikaiona kwa mara ya kwanza
Nilikaa kama dakika 5 naitizama
Akaja mwenye nayo akapanda
Wakati anataka kuondoka kukata kona hizo taa zinakama zungusha zungusha kama macho vile
Jaman hii gari kwa kweli nimeipenda sana
 
Mkuu, ukiendesha Range ya 90s, je ndo huwezi kutamani kuendesha ya 2023.?

Kwamba kama mtu umeshatumia Samsung, iPhone ya 2007 basi ndo hutaki tena kununua ya 2026?

Mkuu, so wewe unapapatikia gari zipi kwa sasa? Electric Vehicles? Au upo kwenye drones, helicopters, yachts & private jets?
Wapi nimesema hivyo?

Unajua kusoma kwa ufahamu au na wewe ng'ombe ngumbaru?
 
Haya magari huwa nayaona wahindi wanatanua nayo hapa mjini.....chuma kama hii Hadi unamiliki lazima uwe na biashara kubwa Sana za kukwepa kodi
Kabisa,
Wahindi kwa kukwepa kodi ni wabobevu.

Kuna yule Mhindi aliyedakwa na anko Magu alikuwa anaiba serikalini tsh 7m kwa kila dakika moja. Maana yake kwa saa moja tu alikuwa anaiba takribani sh 420m (7m X 60).

Ukute awamu hii ya uhuru wa ufisadi anaiba nyingi zaidi
 
Hiyo kauli mbiu yao, unayoipenda, maana yake nini ??

Kwenye marketing ya gari zao wanasema "Experience the luxury, capability, standard and versatility". 😁

Kwamba luxurious cars na zenyewe nieleze mkuu. 😁
Hiyo Versatility ni kwamba gari zao hao jamaa wamezi design kumudu mazingira yote na kukidhi matumizi mengi zaidi. Mfano RR hizo zina Active air suspension na intelligent all-wheel drive, kumudu complex off-road scenarios kama za huko Kibondo au Uvinza.
 
Back
Top Bottom