comrade_kipepe
JF-Expert Member
- Jun 25, 2019
- 8,748
- 18,096
Hii lazima nitanunua
Gunia 1 shngapHiyo mbona bangi gunia 50 tu chombo inashukia uwanjan kwako
Mkuu, ukiendesha Range ya 90s, je ndo huwezi kutamani kuendesha ya 2023.?Ninawashukuru wazazi wangu kwa kuniondolea nyege za Range Rover miaka hiyo ya mwanzo ya 1990s, wakati nipo kijana mdogo, wakati Range Rover bado ni Range Rover kweli.
Enzi hizo Range Rover Vogue zinahesabika mjini Dar.
Nawashukuru kwa kunionesha matatizo ya Range Rovers.
Kwenye magari kuna hali fulani ya kuona watu wanapapatikia gari ambayo wewe ushamalizana nayo huko early 1990s huna hamu nayo tena.
we jamaa umenifanya niwaze nje ya boscHayo kuwa nayo lazima uwe kinyume na jamii inavyofikiri kuhusu maisha na pesa Kwa ujumla, lazima uupige ngumi mfumo Kwa nguvu ndo unaweza kumiliki...unaweza kutafakari hivi wenzangu wanaroga wapi, kumbe walaah n wewe Tu mifumo yako haijakaa sawa.
milion 5×50=Gunia 1 shngap
Ni kipengelemilion 5×50=
Kibunda kirefu sana hicho, ila gari kali sana, hapo lazima ugombane na serikaliSwala la muds tu.
kipengele cha nini mkuu usiwe mwoga ndio maana ya jamaa hapo juu kuupiga mfumo ngumiNi kipengele
Aiseee Jamaa ni noma ndinga zinakula AC ,na ndinga ya bei rahisi ni LC 300 Series.Yule mzee gari zake zinakula AC hapark nje inyeshewe na mvua.
Tatizo manual zinaenda zikipotea. Prado mpya J250 na LC J300 hamna manual.Sawa ila mim manual forever hii midudr yabumeme endeleen nayo tu.kwanza vitasa hivyo eu wameanza kupiga marufuku wanasema in emergency situation unakufa hiv hv wanataka kunanzia 2027- vitasa viwe vya mikonno
Na taqoMkuu, hata figo nasikia zinabaguliwa huko kwenye soko lake usishtuke isipofika bei, labda uchanganye na moyo.
Ila Mad Max you are mad. Sasa huko kwenye mare marenji ulikuwa unatafuta nini? Kwani gari zetu huzijui😀😀😀Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
View attachment 3574907
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
View attachment 3574910
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
View attachment 3574911
Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
Unafikiri ikija finance utamufu kulipia? Huduma hio ipo sema rate za malipo zinaendana na gharama ya gari automatically inakutupa nje. VW moja nilicheki monthly ilikuwa inakuja kama 7-8m unaweza?Bentayga au?
RR me nazielewa, sema nje ya budget na reliability ni tatizo.
Nchi za wenzetu hawanuni cash izo gari, wanalease.
Bongo hii huduma haipo kabisa.
Kwa unavyopenda magari makaliIla Mad Max you are mad. Sasa huko kwenye mare marenji ulikuwa unatafuta nini? Kwani gari zetu huzijui😀😀😀