Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Isshue zangu ni lazima nipite barabara mbovu, nivuke madimbwi na mito au nipite vichakani.
Na lazima niwe na chuma ambayo inavumilia shida. 😆|
Hiyo ni gari ya kazi sio luxury car mazee hauwezi kuichanganya kwenye RR Wabongo wanalia bata hiyo dude kisa lina bei kubwa wakati ni tractor hilo sio gari ya kulia mbuzi tubadilike wazee...
 
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
View attachment 3574907
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
View attachment 3574910
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
View attachment 3574911
Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
Oh mimi gari nayotumia ina gharimu milioni 20 tu
 
Hiyo ni gari ya kazi sio luxury car mazee hauwezi kuichanganya kwenye RR Wabongo wanalia bata hiyo dude kisa lina bei kubwa wakati ni tractor hilo sio gari ya kulia mbuzi tubadilike wazee...
Wambie wabadilike, mi siwezi 🙌🏽
Screenshot_20260423_000847.jpg
 
Halafu mtu amepitia kuwa rais ana utajiri wa matrion na amestaafu bado analipwa,bado ukute ana umri bado miaka si zaidi ya 10 ya kuishi hapa duniani au chini ya hapo hawazi hayo bado moyo wake unampelekea kufanya ya kuondoa wengine ili aendelee kuimiliki hiki kijiji cha dunia.

Mwingine unakuta ana miaka 60+ yuko radhi aondoe wengine ili mradi tu aendelee kutawala sehemu hii ndogo ya dunia. Tena kwa miaka mi5 tu.
🤣🤣🤣 Umeandika kwa uchungu sana mkuu
 
Hiyo mikodi ni kukomoana au ukosefu wa akili tuu, rate kama hizo za TRA ni kwa nchi zinazolinda viwanda vyao sasa sisi tunalinda nini? nchi tajiri kodi ziko chini kuliko mafukara kama Tanzania👎
 
Mkuu, hata figo nasikia zinabaguliwa huko kwenye soko lake usishtuke isipofika bei, labda uchanganye na moyo.
Na moyo wenyewe usiwe umechoka sana! Umesukuma damu miaka 40 na mapenzi nayo miaka 20! Huu wenyewe wanunuzi hawautaki
 
  • Kicheko
Reactions: Tsh
Nafikiri ifike mahala, watu wajue tunaishi ulimwengu wa tatu hivyo sio sawa kulazimisha kuishi maisha ambayo hatujafikia. Tabia ya watu flan flan, kulazimisha kuishi maisha ya ulimwengu wa kwanza inawafanya wafanye mengi yasiyompendeza Mungu ili kufikia malengo yao.

Umewahi kujiuliza unaishi hapa duniani kwa takriban miaka 70 au 80 (pengine umeshamaliza 50 au 60 tayari) ambapo iliyobakia ni michache sana ukilinganisha na ambayo umesha ishi..
Umewahi kujiuliza waliokufa miaka pengine 1000 na zaidi iliyopita wapo wapi na yapi wanapitia?

Sasa kwa nini utende yasiyofaa kwa wengine ili utajirike na kunufaika na huo utajiri pengine kwa miaka 20 iliyobakia kwenye maisha yako halafu ukifa ukasote kwa Mungu pengine kwa zaidi ya miaka 1000???
SIKU ZA MWISHO NI NGUMU KULIKO UGUMU WOWOTE AMBAO BINADAM AMEWAHI KUUWAZIA.
ILA MUNGU AMETUPA NAFASI YA KUTUBU NA KUSAMEHEWA HIVYO CHUKUA HATUA SASA!
Hizo "Pengine" Ndio Hatuziitaji Na Wala Hatutaki Hata Kuzisikia Kwenye Huu Utafutaji Achana "Pengine",,Pengine"....Kwenye Huu Ulimwengu Na Walimwengu Wanachotaka Ni Mbilingimbilinge Tu....
 
Back
Top Bottom