Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Hizo Range Rover unazopishana nazo Vitasa vyake vimeingia kwa ndani, used tu Bila Mil 400 hujamiliki!

Hayo kuwa nayo lazima uwe kinyume na jamii inavyofikiri kuhusu maisha na pesa Kwa ujumla, lazima uupige ngumi mfumo Kwa nguvu ndo unaweza kumiliki...unaweza kutafakari hivi wenzangu wanaroga wapi, kumbe walaah n wewe Tu mifumo yako haijakaa sawa.
 
Ukiachana na eVoque au RR Sports, kuna hizi RR ndefu zikijilock vitasa havionekani na kwa nyuma zina taa ndefu kwenda chini.
View attachment 3574907
Bwana izo ni RR 5th gen (2023+), bei ya moto kinoma. Used tu bila Mil 400 kuzipata ni mtihani.
View attachment 3574910
Mjapan pekee anataka Mil 270+ na TRA nao wanataka Mil 180+
View attachment 3574911
Na hapo unakuta sio Autobiography wala SV ambazo izo sasa ni topic nyingine.
Ninawashukuru wazazi wangu kwa kuniondolea nyege za Range Rover miaka hiyo ya mwanzo ya 1990s, wakati nipo kijana mdogo, wakati Range Rover bado ni Range Rover kweli.

Enzi hizo Range Rover Vogue zinahesabika mjini Dar.

Nawashukuru kwa kunionesha matatizo ya Range Rovers.

Kwenye magari kuna hali fulani ya kuona watu wanapapatikia gari ambayo wewe ushamalizana nayo huko early 1990s huna hamu nayo tena.
 
Engine ina uwezo gani vip gear box pia
Kwanza hii 5th gen (L46) inakuja na engine za Petrol na Diesel, zote turbo.

Pia kuna non-hybrid na hybrid. Non hybrid kuna V8 4.4L Petrol na ipo ya Diesel I6 3.0L. Wakati hybrid zote ni I6 3.0L (Petrol na Diesel).

Hybrid zipo za aina mbili hapa, MHEV (Mild Hybrid Electric Vehicle) na PHEV (Plugin Hybrid EV - za Kuchaji)!

Power zina range kutegemea na engine ila kuanzia 250 hp hadi 560 hp.

Transmission/gearbox ni Auto, 8-gears transmission.
 
Ninawashukuru wazazi wangu kwa kuniondolea nyege za Range Rover miaka hiyo ya mwanzo ya 1990s, wakati nipo kijana mdogo, wakati Range Rover bado ni Range Rover kweli.

Enzi hizo Range Rover Vogue zinahesabika mjini Dar.

Nawashujuru kwa kunionesha matatizo ya Range Rovers.

Kwenye magari kuna hali fulani ya kuona watu wanaipapatikia gari ambayo wewe ushamalizana nayo huko early 1990s huna hamu nayo tena.
Hahhah! Na enzi izo madude yalikua machache sana mjini. Sahivi pia LR wamekua unreliable sana, mascreen mengi ndani ova Tesla.
 
Kila mtu na mapendeleo yake, Mi nimefall in love na huyu:
Simple.
Functional.
Reliable.
Tough.
OIP.jpeg
 
Ninawashukuru wazazi wangu kwa kuniondolea nyege za Range Rover miaka hiyo ya mwanzo ya 1990s, wakati nipo kijana mdogo, wakati Range Rover bado ni Range Rover kweli.

Enzi hizo Range Rover Vogue zinahesabika mjini Dar.

Nawashujuru kwa kunionesha matatizo ya Range Rovers.

Kwenye magari kuna hali fulani ya kuona watu wanaipapatikia gari ambayo wewe ushamalizana nayo huko early 1990s huna hamu nayo tena.

Kwa iyo Brother kwa uzoefu wako huo wa miaka ya 90's, "Range Rover ya 1990''s" ni sawa na Range Rover 5th gen 2023!!
Kwamba matatizo uliyoyaona kwenye RR za Mshua wako miaka ya 90's, ndio matatizo hayo hayo yapo kwenye 5th generation RR!!

Acha kutupanga basi Brother! 😁
 
Tungekuwa na serikali inayojitambua tungemiliki sana haya magari.Tatizo kodi alizoziweka samia.mfano gari ndogo ambayo huko Japane inauzwa milioni tisa pamoja na usafiri inaweza kufika milioni kumi lakini ikifika hapa Tangantika unatakiwa uongeze milioni tisa nyingine ya kodi ya samia.Yaani gari hamjatengeneza ninyi lakini mnakata kodi sawa na aliyelitengeneza! Nchi ya kijuha sana
 
Ha ha ha, nimeona Millard Ayo ana LC VXR mbichi kabisa. Noma sana bongo hii.
Vijana wa mtaani wakiiona tu huwa wanaipiga mkono wanaomba hela. Sema jamaa kawaendekeza cause huwa sometimes anasimamisha gari anashusha kioo anatoa laki hata mbili kijiweni na kusepa. So, vijana wamezoea hilo imefikia hatua wanamvizia na kumsimamisha kumuomba pesa. Sasa wasimamishe wakute labda anaendesha mdogo wake😁😁Wanatukana balaa maana mdogo wake hatoi posho vijiweni.
 
Mkali ana roho ya peke yake yule. Ni mshikaji flani pesa haijamletea ulimbukeni.
 
Back
Top Bottom