babu umesemaje hapo?! Kwa mtazamo wangu mtazamo wenu si sahihiNi muhimu sana kutofautisha mazingira ya mwanamume anapoamua kwenda nje.....Kama anaenda kutafuta mahali pa kuponea wakati mke wake ni mgonjwa basi kwa mtazamo wetu that is not cheating!
Babu DC!!
Unajua nini Kongosho???
Kama umri na uzoefu unakuruhusu...huwezi kupata shida kujua kama mgonjwa wako kafa au bado mzima....!!
Kusubiri hadi uambiwe na mtu wa pembeni, ni ushahidi kwamba wewe bado bado.....!!
Babu DC!!
Ngoja siku mmegombana ndio utajua, utasikia kidudu chenyewe kama mbilimbi au kibamia, au mwanaume gani ingiza chomoa hata 5 mins ufikishi.
jamani kuna siku utendaji unakuwa wa kipekee sana.
Inabidi tu mtu wa pili atoe japo 'tamko' kidogo lol
anyway babu nimekuelewa, vya uongo huwa vingi kuliko ukweli
Kongosho ulichokisema ni sahihi miye nilitaka kumuonyesha boss kwamba si wanawake wote waweza kugundua kama wanakucheat but the best thing is for you to trust and behave yourself basi.Kama anacheat kwa sababu kaamua, then it is okay
Ila kama ancheat kwa revenge ya mme, is it worthy shida yote hiyo?? Hasa hapo kwenye blue lol
Mie nadhani kuna Cheating Syndrome, ila hakuna tu mtu aliyeamua kufanya research
Yaani sasa hivi inataka kujengeka kuwa cheating is inevitable, kweli?
A woman's heart is a deep ocean of secrets!!
kweli kabisa ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe!
Bado tunaendelea ...
Ngoja niende church naomba na kukumea hii dhambi ya uzinzi
mbarikwe sana
Bado tunaendelea ...
Ngoja niende church naomba na kukumea hii dhambi ya uzinzi
mbarikwe sana
Cha wizi kitamu wewe acha kabisa