Hmmm....eti ni kweli...?

hubby mie nimepita tu sijasoma ulichoandika.....:flypig:

Khaaaaa! Aisee!

Na wewe huwa unafanyaje? Shhhhh sema polepole Kaizer asisikie.
 
Last edited by a moderator:
Lakini mwisho wa siku, wanagundulika kilainiiii.....I tell you kuwagundua ni rahisi sana....
 
Sasa unafanyia revenge mwili wako tena???

(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)

Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??

say what?...mhh kasema nani? huyo aliolewa akiwa virgin? ni mke wa mwarabu hata gengeni haendi(hapati wa kumtongoza)? kazini/mihangaiko ya kila cku hakutani na hao wanaume?...na mara nyingi mwanamke akianza mpango wa nje mapenzi yote anayahamishia huko, we ujijie masaa yako bwiii hata huulizwi, ukijashutukia ndio ile umeshapambazuka unaanza kukaba penalt.....
 
Asprin, mwanamke akidhamiria kutunza siri hutokaa uijue.......
hususan ile anayojua itamost ndoa yake na wanae na mumewe.....
mfano..unaweza kuishi mpaka ukaingia kaburini ukijua watoto ni wako kumbe umepigwa changa la macho,

Lakini mwisho wa siku, wanagundulika kilainiiii.....I tell you kuwagundua ni rahisi sana....
 
Last edited by a moderator:
Asprin, mwanamke akidhamiria kutunza siri hutokaa uijue.......
hususan ile anayojua itamost ndoa yake na wanae na mumewe.....
mfano..unaweza kuishi mpaka ukaingia kaburini ukijua watoto ni wako kumbe umepigwa changa la macho,
Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?
 
Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?

Mpwa Asprin long time hapana tia machoni
 
Last edited by a moderator:
'connection' ni,imaanisha chemistry au hata jografia tu, hata civics angalau iwepo kati ya sex partners

Hebu fikiria,

Umemfuma mmeo na mwanamke mwingine
Na wewe unaamua kufanya revenge
Utakamata mwanamme yeyote next door atakayekutongoza???

Hata kama unafanya kazi ofisi ya watu 200, kunaweza kuwa hakuna hata mmoja anayeshtua mshipa wako?

Najikanganya zaidi au unanielewa?
Wa kufanya naye
 
Msiri mkubwa wa mwanamke ni mama, ndugu wa kike wa kuzaliwa.

Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?
 
Msiri mkubwa wa mwanamke ni mama, ndugu wa kike wa kuzaliwa.
Ewaaa.... sasa siku akikorofishana na ndugu wake wa kike wa kuzaliwa sasa. Au ndugu yake wa kuzaliwa atakapoingia kwenye anga zangu sasa (haya huwa yanatokea sana ujue). Au ndugu wa kuzaliwa atakapoloose tongue kwa mmewe sasa..... dah!!
 
Dah, akyanani ndugu wa kike akiingia kwenye himaya yangu basi tena
Hata kama nimekufa nikaoza lol

Ila wanamme mna ugonjwa? Hamuoni taabu kukanyaga ndugu wa damu na hapo ndio siri zote huwekwa hadharani.

Nawafahamu kibao wanaowalaza shemeji zao kwenye mninga. Na hapo wanapewa siri zote za wake zao. Ukitaka kujua siri ya mkeo, jenga urafiki wa karibu na ndugu zake wa kike. Kwishney!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…