Hmmm....eti ni kweli...?

Hmmm....eti ni kweli...?

hubby mie nimepita tu sijasoma ulichoandika.....:flypig:

Comrades Nyani Ngabu, The Boss na babu mwenzangu Dark City
Huu mfano wa TB unaweka wazi na ukweli jinsi hawa watu wa jinsia pinzani walivyo wazuri kwenye kucheat/kupretend. Lakini mwisho wa siku utakuta wana udhaifu wa kuiweka siri kwa muda mrefu.

Nlishawahi kukutana na mama mmoja ambaye mmewe alikuwa mbali kwa muda mrefu sana. Alionekana alivutiwa nami na kutaka nimkatie kiu. Mi si mtu nayependa kutoka na wake za watu lakini mmama huyu bana... I think you know what I mean....

Alinambia mmewe ndo alikuwa mwanaume wa kwanza kukutana naye kimwili. Yaani ndie aliyembikiri! Ofcourse nlijua ananidanganya lakini alipohusisha jina la Yesu kwenye kuapa kidooogo nikaanza kumuamini. Then ikawa vile kwa bahati mbaya (shetani na ashindwe)

Haukupita muda sana nikaja nikagundua si tu kuwa aliolewa na aliyembikiri, bali pia aliolewa akiwa na mtoto tayari!! Mwanamke ukimbana kwenye kona, ni mwepesi wa kufunguka na kuomba msamaha. Vidume ni vigumu kukiri asee. Nakumbuka kuna kidume kilifumaniwa live gesti na mkewe lakini kikakataa katakata kuwa hakijammega ila kilikuwa kwenye process ya kummega wakati kilishatumbukiza goli tatu nyavuni. Tena kikamshukuru mkewe kwa kumuwahi kabla hajavunja amri ya sita na kusema kuwa kwa mkewe kufika pale ulikuwa mpango wa Mungu ili kumwepusha na dhambi na maradhi!!

Naungana na wote kuwa wanawake ni wazuri sana kuficha siri zihusuzo mapenzi na ni wazuri sana kupretend lakini pia wana kasoro ya kutotunza siri hizo kwa muda mrefu. Wanakamatika kirahisi sana baada ya muda.

Natamani sana King'asti na wake zangu BADILI TABIA, cacico na Yummy wasisome hii post.
 
boss i wish i met you before aisee ningekuliza, yaani do you know the secrets behind us? do you know that women posses secret phone numbers which you don't know and you will never find it?
sasa ngoja nikwambie hivi i have an office mate we are very close and tuko wasiri sana btn me and her. ana mcheat hubby wake but you wont know it. kwanza she never uses her mobile phone, nor her hand set. ana simu mpya iko kwa droo yake ambayo inafunguliwa anapotaka kuwasiliana na patna wake. akimaliza anaswitch off.

wakitaka kukutana wana meet at the hotel kila mtu anakwenda kivyake na anatoka kivyake and not near by atakwenda bagamyo ama zanzibar kwa hiyo siku anafanya mambo yake anarud kimya kivyake. ana kanda maeneo na barafu baada ya hiyo kazi kisha anaweka liners kwenye pant yake mpaka afike home kakauka wala hujui kama kaingiliwa. and hili linafanyika mara moja kwa mwezi ena she neva switch off her phone so akipigiwa na hubby anaongea nae and so forth. acha kabisa.

Khaaaaa! Aisee!

Na wewe huwa unafanyaje? Shhhhh sema polepole Kaizer asisikie.
 
Last edited by a moderator:
unajua nemic4u, kuna watu ambao wanadhani kwamba wao wanaweza kuwacontrol wanwake kumbe bwana mwanake huwez kumcontrol wana kumfuatilia and believe me ni mwanamke mwenyewe aamue kutulia manake this world is full of alternatives and options to women. halafu wanasahau kwamba women a good pretenders and above all wana tekniksi nyingi kweli.
Lakini mwisho wa siku, wanagundulika kilainiiii.....I tell you kuwagundua ni rahisi sana....
 
Sasa unafanyia revenge mwili wako tena???

(Kwa tetesi, sex bila connection haina tofauti na kubakwa na stranger yeyote)

Si bora umfanye mwanamme huyo aliyekukosea abakwe na wanawake wengine ili mwili wake uzidi kuchafuka??

say what?...mhh kasema nani? huyo aliolewa akiwa virgin? ni mke wa mwarabu hata gengeni haendi(hapati wa kumtongoza)? kazini/mihangaiko ya kila cku hakutani na hao wanaume?...na mara nyingi mwanamke akianza mpango wa nje mapenzi yote anayahamishia huko, we ujijie masaa yako bwiii hata huulizwi, ukijashutukia ndio ile umeshapambazuka unaanza kukaba penalt.....
 
Asprin, mwanamke akidhamiria kutunza siri hutokaa uijue.......
hususan ile anayojua itamost ndoa yake na wanae na mumewe.....
mfano..unaweza kuishi mpaka ukaingia kaburini ukijua watoto ni wako kumbe umepigwa changa la macho,

Lakini mwisho wa siku, wanagundulika kilainiiii.....I tell you kuwagundua ni rahisi sana....
 
Last edited by a moderator:
Asprin, mwanamke akidhamiria kutunza siri hutokaa uijue.......
hususan ile anayojua itamost ndoa yake na wanae na mumewe.....
mfano..unaweza kuishi mpaka ukaingia kaburini ukijua watoto ni wako kumbe umepigwa changa la macho,
Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?
 
Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?

Mpwa Asprin long time hapana tia machoni
 
Last edited by a moderator:
'connection' ni,imaanisha chemistry au hata jografia tu, hata civics angalau iwepo kati ya sex partners

Hebu fikiria,

Umemfuma mmeo na mwanamke mwingine
Na wewe unaamua kufanya revenge
Utakamata mwanamme yeyote next door atakayekutongoza???

Hata kama unafanya kazi ofisi ya watu 200, kunaweza kuwa hakuna hata mmoja anayeshtua mshipa wako?

Najikanganya zaidi au unanielewa?
Wa kufanya naye
say what?...mhh kasema nani? huyo aliolewa akiwa virgin? ni mke wa mwarabu hata gengeni haendi(hapati wa kumtongoza)? kazini/mihangaiko ya kila cku hakutani na hao wanaume?...na mara nyingi mwanamke akianza mpango wa nje mapenzi yote anayahamishia huko, we ujijie masaa yako bwiii hata huulizwi, ukijashutukia ndio ile umeshapambazuka unaanza kukaba penalt.....
 
Msiri mkubwa wa mwanamke ni mama, ndugu wa kike wa kuzaliwa.

Hilo halina ubishi. Siri ya mtoto aijuaye mama.

Ila unaweza kuwa msiri kwangu lakini kama kawaida yenu mna "wasiri" wenu. Na si unajua ibilisi wa mtu ni mtu mwenyewe?
 
Msiri mkubwa wa mwanamke ni mama, ndugu wa kike wa kuzaliwa.
Ewaaa.... sasa siku akikorofishana na ndugu wake wa kike wa kuzaliwa sasa. Au ndugu yake wa kuzaliwa atakapoingia kwenye anga zangu sasa (haya huwa yanatokea sana ujue). Au ndugu wa kuzaliwa atakapoloose tongue kwa mmewe sasa..... dah!!
 
Dah, akyanani ndugu wa kike akiingia kwenye himaya yangu basi tena
Hata kama nimekufa nikaoza lol

Ila wanamme mna ugonjwa? Hamuoni taabu kukanyaga ndugu wa damu na hapo ndio siri zote huwekwa hadharani.

Nawafahamu kibao wanaowalaza shemeji zao kwenye mninga. Na hapo wanapewa siri zote za wake zao. Ukitaka kujua siri ya mkeo, jenga urafiki wa karibu na ndugu zake wa kike. Kwishney!!
 
Back
Top Bottom