Hmmm....eti ni kweli...?

True true true kabisa na wakijua roho zinavyowauma sasa utadhani kaumwa na nyoka kobra kucheat kama kawa bana he he he msinitoe macho
 
Mke mwenza ulipotelea wapi ndugu yangu?mme wetu kakuuliza weee akadhani nimekupiga kipapai.
:focus: hivi nani ana cheat kati yetu na yule jamaa???

Tunacheateana wote hakuna asiyecheat na tunajua............Mume mwenyewe si wamjua weye ataacha kucheat yule kha usiniangushe vipi kale kaserengeti boy leo vipi kanatoa Tusker malt au???
 
Umeolewa? Una rafiki wa kiume wa kimapenzi? Kama jibu ni ndiyo basi kesho njoo nyumbani nitakuwa na nyama choma na pombe za kumwaga. Baada ya hapo utajua kucheat ndiyo nini...:redface:

Mume sina ila nina rafiki wa kiume na nimeshamcheaat mara nyiiiiinggiiiiii hadi idadi sikumbuki. Umebadili mwelekeo si ulisema weekend ya tarehe 11 ndo utanipeleka beach umegeuza kibao tena aiiii bro vipi
 
Umeona eh

A Little Impatience can spoil great plan!!

Umeanza mambo gani tena haya ya copy and past?? Hapa ni kucheatiana tu hakuna kingine right??? By the way nimekumisi sana ngoja nikujie hewani
 
Mume sina ila nina rafiki wa kiume na nimeshamcheaat mara nyiiiiinggiiiiii hadi idadi sikumbuki. Umebadili mwelekeo si ulisema weekend ya tarehe 11 ndo utanipeleka beach umegeuza kibao tena aiiii bro vipi

Hahahahaa...Dena...kesho tarehe 4 bana. Tarehe 11 ni wikendi ijayo...
 
Mume sina ila nina rafiki wa kiume na nimeshamcheaat mara nyiiiiinggiiiiii hadi idadi sikumbuki. Umebadili mwelekeo si ulisema weekend ya tarehe 11 ndo utanipeleka beach umegeuza kibao tena aiiii bro vipi
hapo hucheat bwana
 
True true true kabisa na wakijua roho zinavyowauma sasa utadhani kaumwa na nyoka kobra kucheat kama kawa bana he he he msinitoe macho
Dena Amsi umeibukia wapi wewe mdada
Mzee kishapita hapa kuchungulia eti anahoji wife mnaongelea nini hapa kwenye hii sread na mbona wewe hufunguki ha ha ha ...sasa ngoja niende kwenye siasa ..:israel:
 
Last edited by a moderator:
Hiyo huwa mara nyingi ni kanyaboya....

Ni sawa na kuambiwa kwamba may be ujaribu au ujitahidi next time...anakuwa hataki tu kukuvunja vunja nguvu!!

Hawa watu achana nao bwana!!

Babu DC!!
babu usiwatishe wenzio, watakuwa wanahisi wanadanganywaaaa tuuuuuuuuuuuuuuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…