Yummy
JF-Expert Member
- Sep 26, 2011
- 1,796
- 1,337
Hata mie nashangaaa
Mke mwenza ulipotelea wapi ndugu yangu?mme wetu kakuuliza weee akadhani nimekupiga kipapai.
:focus: hivi nani ana cheat kati yetu na yule jamaa???
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hata mie nashangaaa
Bold and underlined Nyamayao hakamatwi mtu hapo alahhh
yeye mwanaume hayapati hayo kwako? mbona ana cheat?, na kumbuka wanawake wengi tunafanya haya coz ya hawa wanaume ze2, mtu anafanya anajisahau kabisa kabisa kama ana majukumu yanamkabili,heshima ya nyumba kai2pilia mbali, tufanyaje? ni hivi ukimkuta mwanamke anae cheat wakati kwake mambo shwari huyo ana ugonjwa wa kutekenywa, tunafanya coz wanatufanya/wanatulazimisha tufanye.....haki sawa kwa kila mtanzania....mkwe naendelea hapa najua tarehe bado zinasoma ucjeniacha nikakabwa hapa na wahudumu.....mie nimecharara kabisa pesa zote nimemalizia kwenye michango ya kitchen party!
Mke mwenza ulipotelea wapi ndugu yangu?mme wetu kakuuliza weee akadhani nimekupiga kipapai.
:focus: hivi nani ana cheat kati yetu na yule jamaa???
Nilikuja kuchungulia kidogo yaaaani kwa luga ingine kupata maujuziii ili nizidishe mapenzi kwako:mwaaah:
Na kweli, atakayekukamata wewe atakuwa kafundishwa na Yesu.
Brother hivi kucheat ni nini vile????
Umeona ehTena maono yake ni pale na. 6 tu.........utamalizia wewe mwenyewe nikamatwe na kichaa
mimi huwa najitokea tu sina wa kumcheat mimi labda nijicheat mwenyewe am not commited to any oneWewe ushawahi kucheat?
mimi huwa najitokea tu sina wa kumcheat mimi labda nijicheat mwenyewe am not commited to any one
Umeolewa? Una rafiki wa kiume wa kimapenzi? Kama jibu ni ndiyo basi kesho njoo nyumbani nitakuwa na nyama choma na pombe za kumwaga. Baada ya hapo utajua kucheat ndiyo nini...:redface:
Umeona eh
A Little Impatience can spoil great plan!!
Mume sina ila nina rafiki wa kiume na nimeshamcheaat mara nyiiiiinggiiiiii hadi idadi sikumbuki. Umebadili mwelekeo si ulisema weekend ya tarehe 11 ndo utanipeleka beach umegeuza kibao tena aiiii bro vipi
unataka kunipa?Bado unapewa vitu na wanaume?
unataka kunipa?
Hahahahaa...Dena...kesho tarehe 4 bana. Tarehe 11 ni wikendi ijayo...
hapo hucheat bwanaMume sina ila nina rafiki wa kiume na nimeshamcheaat mara nyiiiiinggiiiiii hadi idadi sikumbuki. Umebadili mwelekeo si ulisema weekend ya tarehe 11 ndo utanipeleka beach umegeuza kibao tena aiiii bro vipi
Dena Amsi umeibukia wapi wewe mdadaTrue true true kabisa na wakijua roho zinavyowauma sasa utadhani kaumwa na nyoka kobra kucheat kama kawa bana he he he msinitoe macho
babu usiwatishe wenzio, watakuwa wanahisi wanadanganywaaaa tuuuuuuuuuuuuuuuHiyo huwa mara nyingi ni kanyaboya....
Ni sawa na kuambiwa kwamba may be ujaribu au ujitahidi next time...anakuwa hataki tu kukuvunja vunja nguvu!!
Hawa watu achana nao bwana!!
Babu DC!!