Hmmm....eti ni kweli...?

Hmmm....eti ni kweli...?

hata sijaelewa ur angle
but nikupe a very true story...

nilikuwa na rafiki ambae tulikuwa tuna party pamoja sana
na huko mitaani akichukua wanawake wa pembeni anawaleta kwangu
zamani kidogo
na wanawake walikuwa wanamsifia mno utundu wake kitandani
but guess what...niliwahi kutoka na gf wake na akawa
anamdanganya jamaa ili tu asi sex nae
anakuja kwangu
na i was not that good.....
but his gf preferred me than him...
sijui unaelewa hiii?

Hahahaaa Boss umenivunja mbavu! Ila nimekuelewa...
 
Nitazidi kukufanyia maombi hata kwa yule mzee wa kutabiri ...TB Joshua ili usimpate dada/mama wa namna hiyo....!!

Sipendi kuwaona wanaume wenzangu wakitoa machozi ya uchungu.....!!

Babu DC!!

mkuu DC bora upate wa kukudanganya
na usi find out the truth
wanasema 'ignorant is bliss'
kuliko upate wa kukudanganya halafu ugundue ukweli
 
Kwa nini....kwa sababu unahisi utalishwa uongo?

NN sio tu kulishwa uongo
but unajua mtu muongo huwa
'ana loose face' pia?
unamuonea huruma pia kama unamuona live anajaribu kukudanganya
sasa mimi huwa sipendi shuhudia hiyo
nataka niendelee kumheshimu
 
NN sio tu kulishwa uongo
but unajua mtu muongo huwa
'ana loose face' pia?
unamuonea huruma pia kama unamuona live anajaribu kukudanganya
sasa mimi huwa sipendi shuhudia hiyo
nataka niendelee kumheshimu

It seems like when it comes to playing mind games you are the undisputed champ!
 
Hii inabidi Babu DC akupe mbinu za porini! But I can spot if not smell a decent man(whatever that means) a mile away!

Maybe you can but I'd bet my last dollar that that is not exact science. It is more of a hit-or-miss proposition.

And does decency have anything to do with the number of sexual partners?
 
It seems like when it comes to playing mind games you are the undisputed champ!

Sio mind games but nikwambie kitu
umewahi gundua tofauti ya wanafunzi wa IST na wa shule za kata?
na wanawake wako hivyo hivyo
 
I agree with u somewhat. But I guess the fact that I take all the time I need to get involved with a person zeroes down positively.

And to me decency has a lot to do with the number of sexual partners. Your sexual history says a lot about you. (I'm blocking my mind not to think of u, hehehe)
Maybe you can but I'd bet my last dollar that that is not exact science. It is more of a hit-or-miss proposition.

And does decency has anything to do with the number of sexual partners?
 
And to me decency has a lot to do with the number of sexual partners. Your sexual history says a lot about you. (I'm blocking my mind not to think of u, hehehe)

Okay break it down for me, please.
 
Break it down for me....what's the difference?

watoto wa shule za kata hawaendi ila kwa fimbo na kufokewa
wa IST hakuna fimbo na wanakuwa treated as adults na mwisho wana behave like adults...
unaona their true personalities....na sio pretence
but wa kata kuna heshima za woga na ku pretend saana sababu ya bakora na kufokewa fokewa..
so wanawake nao hivyo hivyo
usi insist saana na rules zako,jifanye mjinga for a while
jifanye kama utasamehe anything uta discover kitu
na rules zako zitakuja slowly...
 
Duuh! hiyo analogy yako kiboko.
 
Women are financially independent..........

Nimeshuhudia ndoa kadhaa zinavunjika kwa sababu ya hiyo kitu, baadhi wamekosa uvumilivu kwa sababu ya kuwa finacially capable, very sad!
 
well, sh i t happens ..
these days everyone is coming up with a different concept about something ..
I don't believe most of that ****.

ikija kwenye hayo mambo ya ku cheat mwanamke na mwanamme wana cheat "Equally"
 
If their financial independence make them more likely to walk away from a relationship that isn't satisfying...how could they be cheaters?..are they cheating on their way out???
 
Is it because they are better at keeping secrets or is it because they are better at lying or is it because they are better at both?
Uongo mtupu. Women Don't cheat. And when they happen to do something that you men would call cheating, they are simply using their wisdom in response to one of your own behaviors. the person to blame is always the guy. Women don't lie neither, they just can't. And as everybody knows, they can't keep secrets.
Alie andika hivo ana matatizo yake binafsi na wanawake, maybe he is cheating on his wife. or he drove his wife to tht point where she had no choice but see somebody else in secret (technically not cheating lakini)
 
Back
Top Bottom