Hodi hodi kutoka kwa Kiranga

Hodi hodi kutoka kwa Kiranga

Wala sikubadili jina kuendana na utoto. Nimeamua tu. Hata hilo la Chikira nalo nilikuwa nimebadilisha. Ingekuwa ninataka utoto ningefungua ID mpya lakini kama unaona vizuri bado inaonesha nimejiunga 2011. Nitake radhi kuniambia nataka utoto wa JF
Siku maanisha wewe sorry kuniquote vibaya!..But most ya people wa enzi hizo nowdays siwaoni humu ndani!..
Na kubadilisha sio kwa maana mbaya its just nilikua sijui mkuu kuna kipindi mwenyewe sikuwepo JF mpaka 2017 niliporudi tena!.
 
ok
 
2009 uko ndani ya Jf, enzi hizo nkiwa kitoto chenye kamasi, mvaa soksi pundamilia,,mbeba mihogo, mandazi, mla kiporo asubuhi "maharage na dona mtama" kisha mkoba begani.

Navuta picha na kupata hamasa jinsi watu mlivokua mnatiririka enzi hizo pindi nkiwa na akili za "kuku".

Kwa watu kama nyie nawaheshimu saana na saana na kusema "Shikamoo"
Watu mbona tupo tangu Jamboforum, mpaka kutokea "the schism" iliyotenganisha Waingereza na Wadachi, Wakatoliki na Waprotestanti, mpaka server likabuma na kurudishwa upya. Mpaka Jamii forum inazaliwa.

Na hata kabla ya Jamiiforum, Youngafricans.com ya Kasoro.

Hivi kuna anayemkumbuka Kasoro humu?

Tangu kabla ya Youngafricans.com ya Kasoro, kulikuwa na Nyenzi.com na Darhotwire. Tulikuwapo.

Tumechill na Roy Bukuku Raha Towers tunatengeneza websites za Geovities tangu 1999, Enzi hizo hakuna Facebook wala Instagram. Na Google ndiyo kwanza inazaliwa zaliwa.

Tumezunguka mitandaoni mpaka tukafika sehemu yenye kibao "Hapa ndiyo mwisho wa internet, tafadhali rudi ulipotoka"

Huku kwingine tunafanya marejeo tu.
 
Rudi ulikotoka kwa Mungu jamaa
 
Back
Top Bottom