Nakadori
JF-Expert Member
- Sep 21, 2011
- 8,778
- 21,010
- Thread starter
- #81
Me nlijua wewe uko busy na fursa za K tu?? Kumbe na zingine...basi ntakwambia mzabzab.Aise safi sana natumai mwana jf atabarikiwa na utamu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
On a serious note...fursa gani hizo zipo na sie tuzichangamkie
Ntakwambia nikishaitafiti vizuri
Utamu utarudi dar kama ulivyokuja kama huamini basii