Behaviourist
JF-Expert Member
- Apr 8, 2016
- 39,926
- 95,626
Hakuna kitu hapo! Anapiga marufuku mbio za mwenge wakati watu kutoka nchi zilizoathirika kama vile China wanaingia nchini kwa speed ya 5G!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Maskini Mwenge wetu. Mungu Ibariki Tanzania.
Mdogo mdogo ccm inaanza kufa. Maana hakuna mbio za mwenhe pale huwa kuna vikundi vya uvccm, wajinga wote nchini na policcm . Magu umeshawatia njaa ccm tumbo hapo hakuna perdiem mwaka huu.Hakuna kitu hapo! Anapiga marufuku mbio za mwenge wakati watu kutoka nchi zilizoathirika kama vile China wanaingia nchini kwa speed ya 5G!
Na ndio mwanza wa ccm kufa. Taasis moja moja inaanza kupotea.Huo ni mwanzo wa kuachana na UJINGA wa mwenge
Bajeti imebana Corona inasingiziwa tu. Hahahaaaa
Baada ya mkopo kukosa naona shughuli mbali mbali za ccm pamoja na mwenge zinaanza kudumaa.KIONGOZI HAPO AMEPATIA. NA AMEONA MBALI. BIG UP SANA MZEE.
Ndio ukweli wenyewe kapatia sababu tu.
Pesa ipi??Rais Jpm amesitisha mbio za mwenge 2020 na fedha kuelekezwa katika mapambano dhidi ya homa hatari ya Corona. Big up Mh. Rais
Hahahaaa sana miradi inafunguliwa mara mbili mbiliHii kitu ilitakiwa kufungiwa makabatiti tokea enzi ya nyerere kwani imesababisha maambukizi mengi sana ya VVU kwa kisingizio cha kufungua miradi hewa.
Baada ya mkopo kukosa naona shughuli mbali mbali za ccm pamoja na mwenge zinaanza kudumaa.
Serikali inatuweka katika wakati mgumu sana, kama hamna mgonjwa hata aliyethibitika kuwa na huu ugonjwa ni kwanini inazuia hiyo mikusanyiko? Kama mipaka iko sawa na hamna wagonjwa wanaoingia ni kwanini inazuia mbio za mwenge,naona pia TAMISEMI imezuia mpaka graduations kuhudhiriwa na watu wa nje ya shule. Wakati huo huo mikusanyiko ya ibada inaendelea na watu wanaendelea kugombania mwendokasi. Mbona haileti maana? |
HahahaahaaaaKwa hiyo ibada ya mwenge hakuna tena, mimi nikafikiri ndo ungeondoa korona maana ungeimulika pia
Kauombe tu serikalini uanze kuukimbiza chumbani kwakoMaskini Mwenge wetu. Mungu Ibariki Tanzania.
Serikali inatuweka katika wakati mgumu sana, kama hamna mgonjwa hata aliyethibitika kuwa na huu ugonjwa ni kwanini inazuia hiyo mikusanyiko?
Kama mipaka iko sawa na hamna wagonjwa wanaoingia ni kwanini inazuia mbio za mwenge,naona pia TAMISEMI imezuia mpaka graduations kuhudhiriwa na watu wa nje ya shule. Wakati huo huo mikusanyiko ya ibada inaendelea na watu wanaendelea kugombania mwendokasi.
Mbona haileti maana?
Hana nia ya dhati kuzuia Corona isiingie nchini kwa kuzuia mbio za mwengu huku mikusanyiko mingene ikiachwa iendelee.
Angekuwa serious,angezui ndege, hasa kutoka katika mataifa yaliyoathirika vibaya na corona, kuingia nchini.
Semeni tu kama lengo ni kuacha iingie alafu uchaguzi uairishwe.
Ungesoma mchango wangu kwa makini sidhani kama hili swali ungeuliza. |