Mwenge umeshasambaza sana HIV...... wangeujengea museum ingetosha sana.Maskini Mwenge wetu. Mungu Ibariki Tanzania.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwenge umeshasambaza sana HIV...... wangeujengea museum ingetosha sana.Maskini Mwenge wetu. Mungu Ibariki Tanzania.
Wewe uonavyo ni kipi kingeanza? Nadhani uliyoyashauri yangeanza. Yakifuatiwa na mikusanyiko ya ndani.Pongezi kwa kuzuia mbio za mwenge
..aende mbali aongeze udhibiti katika mipaka ya nchi na wageni wote wawe quarantined kwa lazima wawe - au +
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu umetizama kwa jicho la Tatu.. Umeona mbali sana.Hana nia ya dhati kuzuia Corona isiingie nchini kwa kuzuia mbio za mwengu huku mikusanyiko mingene ikiachwa iendelee.
Angekuwa serious,angezui ndege, hasa kutoka katika mataifa yaliyoathirika vibaya na corona, kuingia nchini.
Semeni tu kama lengo ni kuacha iingie alafu uchaguzi uairishwe.
Mechi za soka inabidi zichweze bila mashabiki.Pongezi kwa kuzuia mbio za mwenge
..aende mbali aongeze udhibiti katika mipaka ya nchi na wageni wote wawe quarantined kwa lazima wawe - au +
Sent using Jamii Forums mobile app
Acha ufala basi , Umeona alichofanya ni Jambo Dogo?Hana nia ya dhati kuzuia Corona isiingie nchini kwa kuzuia mbio za mwengu huku mikusanyiko mingene ikiachwa iendelee.
Angekuwa serious,angezui ndege, hasa kutoka katika mataifa yaliyoathirika vibaya na corona, kuingia nchini.
Semeni tu kama lengo ni kuacha iingie alafu uchaguzi uairishwe.
Fungu maalumu la gharama za kuendesha mbio za mwenge vp ulidhani fedha za Escrow?Pesa ipi??
Alipokuwa akitoa hilo tamko, kulikuwapo mkusanyiko au haukuwapo?Kutokana na kusambaa kwa virus vya Coron, Rais wa Jamhuri ya Muungano amepiga marufuku mbio za Mwenge kwa mwaka huu ili kuzuia mikusanyiko isiyo rasmi
hebu rudia tena kwa sauti kwanza mkuu sijakupata vizuri.Semeni tu kama lengo ni kuacha iingie alafu uchaguzi uairishwe.
Ujasikia sababu za usitishwaji wake au wewe ndio unataka KIKI?Wakisema amesitisha mbio za mwenge kwa mwaka 2020,kiki isinge sound good?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mwenge for what? Upuuzi mtupu kwa karne hizi.....Rais Magufuli amesitisha maadhimisho ya mbio za mwenge kutokana na tishio la ugonjwa wa Corona.
Rais Magufuli ameyasema hayo akiwa katika ziara ya ukaguzi wa daraja na barabara ubungo.
Source Channel ten!
Ahsante kwa taarifa bwashee!Uzi huu upo humu jamvini toka saa moja!Vp Bwashee ndio unaamka?