Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI


Hiki kitu kinafikirisha sana
Asante kwa hili mkuu…
 
Kuongea ni rahisi sana chief usiombe uwe wa kutumia dawa tu kila siku japo ni kidonge kimoja ila USIOMBE.
 
[emoji28][emoji28] daah mkuu unataka kusema nn sasa???
 
Nilichojifunza vijana wengi au watu wengi wanapataga ngoma, kwa sababu ya mazoea kama haya...
Mimi hata mtu nimpime na vipimo 100 siwezi kuamini kama ni hit and run, never ever, na mwanamke anayetaka umle jicho yani huyo ndio kabisa siwezi kumuamini.

Nimewahi kututana na mwanamke yeye ni Malaya hana haja hata ya kufanya test, akishapiga dry anakula hizi pep.. na anadai hana
 
Pole and relax kama umesalimika mgeukie Mungu na uache uzinzi,vinginevyo shetani ataendelea kukuwinda ili akuingize kwenya jambo baya kuliko hilo..
 
Binafsi ningeweza kukuunga mkono kwa hili, but no research, no right to speak, and when you do the research you must come out with evidence which contains data from authenticated sources which can provide truth information about certain phenomena
Vipi ulipima na kujua Afya yako??.
Ndiyo, nilijipima mwenyewe na kujua Afya yangu.
 
Sawa Mkuu, endelea kuwa Thomaso.
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Chai
 
Mkuu naomba nikuulize swali, hivi kazi ya antibody ni nini? Na pia unafahamu nini maana ya antigens?

Antibody ni protini ya kinga inayozalishwa na mfumo wa kinga kazi yake ni kutambua na kukabiliana na vitu vya kigeni vinavyoingia mwilini kama bakteria na virusi,,,
Antijeni ni chembe chembe zinazosababisha mwili kuunda kingamwili.
 
bro usiwe na shaka kuhusu ilo. uko salama. izo PrEP mim nimeshazitumia round nne nzima na saiz fresh tu nadunda
Mara 4 mkuu? Na hao wote uliotembea nao walikuwa confirmed HIV positive?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…