rikiboy
JF-Expert Member
- Feb 19, 2017
- 21,952
- 43,265
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu uzi wetu umekukosea nini...Ule uzi wa kimasihara ufutwe. Utatumalizia vijana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu uzi wetu umekukosea nini...Ule uzi wa kimasihara ufutwe. Utatumalizia vijana.
Huyu ndugu alitaka aje kuchangia kwenye uzi wako bahati mbaya kakutana na kombora.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mkuu uzi wetu umekukosea nini...
Mm hata mke nakulana Kwa Kondom Huko ujimga wakumwamini MTU nilikuwa taa miaka 3 iliyopita
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Daah kuja ajali mkuu sema maisha lazima yaendeleeHuyu ndugu alitaka aje kuchangia kwenye uzi wako bahati mbaya kakutana na kombora.
Oooh ok okHapana wengi wanakua wameacha au wamegoma kutumia dawaa...!!!
Uko sahihi mkuu. Watu wengi wasichojua ni namna gani HIV AIDS inapipwa, na hapo ndipi wanapopigiwa.
Mwili wa binadamu umeumbwa kiasi kwamba unaweza kupambana na magonjwa kwa kutumia Kinga hasili ya mwili/antibody (assume antibody ni kama wizara ya ulinzi). Leo hii uking'atwa na mbu wa malaria, antibody (wizara ya ulinzi) ikidetect ilo jambo itarelease antigens (assume hawa ni askari sasa) ili kuweza kufight vimelea vya malaria. Na ikivishinda, mwili utakuwa salama, hautopata malaria. Kwahiyo tukisema tukupime wewe, tukikuta una antigens waliokuwa wanapigana na vimelea vya malaria, hatuwez kusema unamalaria, Bali tutaupongeza mwili kwa kuweza kujilinda. Ili tuseme una Malaria, lazima wale bacteria wanaosababisha Malaria wawe nidetected, wakishaonekana kwenye vipimo hapo tunasema unamalaria, then unapewa dozi ya malaria. Na antigens wapo wa aina tofauti tofauti kutegemeana na mwili unapambana na tatizo gani.
Sasa tukirudi kwa upande wa ukimwi, jinsi unavyopimwa ndio inashangaza. Vipimo karibia vyote vya huu ugonjwa fake vinapima uwepo wa antigens. Kwamba Kuna specific antigens wakiwa detected tu, basi utaambiwa una ukimwi. Yani badala waupongeze mwili kwamba umetoa askari wa kuupambania, wao wanauhukumu na kusema uwepo wa wale Askari (antigens) maana yake ww ni mgonjwa. Kwanini magonjwa mengine yote huwa tunapima vimelea vya ugonjwa husika, Ila kwa ukimwi tunapima antigens?
UKIMWI = Upungufu wa Kinga Mwilini, yani wakuu mnaamini kuwa Upungufu wa Kinga aliokuwa nao mtu mmoja, unaweza kuambukiza mtu mwingine?
Tuchukulie mfano rahisi, yani mpenzi wako akiwa na utapiamlo, then akuambukize utapiamlo wake kwa kujamiiana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuongea ni rahisi sana chief usiombe uwe wa kutumia dawa tu kila siku japo ni kidonge kimoja ila USIOMBE.Mi mwenyewe nabaki kushangaa tu,yaani eti echiaiviii inipe msongo wa mawazo wakati ukiupata unaweza kuishi vizuri zaidi ya asiyenao ukitumia dawa vizuri na kula vizuri tena miaka mingi tu.
Mi naogopa kansa,kisukari, na presha tu,ndio magongwa yanayoubadili kabisa mfumo wa maisha yako
[emoji28][emoji28] daah mkuu unataka kusema nn sasa???Ukimwi umepewa exception kubwa sana, kiasi kwamba watu wameacha kufikiria. Leo ukizini na mtu aliyesingiziwa huu ugonjwa alaf usipopata maambukizi, watasema ulimuandaa vzr, ooh hapakuwa na michubuko na blah blah nyingi. Ugonjwa kuupata mpaka masharti hivyo? [emoji1787][emoji1787]
Ww si ni mwanaume? Unaujua ugonjwa wa gono? Demu akiwa na gono, mpake kilainishi kadri uwezavyo, alafu chomeka tu mashine Wala usipump. Then itoe ondoka, siku chache mbele lazima ukutwe na gonorrhea. Sasa huyu ukimwi yeye inakuwaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Mi nikitumia nitatoa mrejesho,ila huwezi kuufananisha ukimwi na kansaKuongea ni rahisi sana chief usiombe uwe wa kutumia dawa tu kila siku japo ni kidonge kimoja ila USIOMBE.
Binafsi ningeweza kukuunga mkono kwa hili, but no research, no right to speak, and when you do the research you must come out with evidence which contains data from authenticated sources which can provide truth information about certain phenomenaNilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt Kama kweli HIV-Aids ipo?
Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotolea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayohatimaye Yana wadhuru.
Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Ninekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.
Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said that AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc.And indeed the symptoms of HIV-Aids resembles very much those of slow poisoning over time.
Ndiyo, nilijipima mwenyewe na kujua Afya yangu.Vipi ulipima na kujua Afya yako??.
Sawa Mkuu, endelea kuwa Thomaso.Ndio sina research,hii ni circumstancial evidence,ila it is very compelling.Kumbuka kwamba hii ni issue yao,so kuifanyia utafiti is next to impossible.
Hata hivyo to me the fact that hawaja tuonyesha huyo Virus(kama ilivyo kwenye Covid) wanayedai kwamba ana-cause Aids,inahakikisha kwamba wanadanganya.Hii haina tofauti na assertion kwamba mvua ikinyesha na Jua linawaka,basi Simba anazaa.Ni mjinga tu ayeweza kuamini ujinga huu.
ChaiNina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Mkuu naomba nikuulize swali, hivi kazi ya antibody ni nini? Na pia unafahamu nini maana ya antigens?
Ni ngumu kuwaelewesha watu walioshikilia mitazamo yao kwa nguvu zote.