Mtu na nusu
JF-Expert Member
- Jan 9, 2020
- 680
- 1,306
Unawapoteza wenzako mkuuMbona darasa lipo humu kitambo sana toka 2015 huko. Tafuta nyuzi za jamaa anaitwa deception. Ni nondo zenye ujazo wa hatari
Jirani yangu (18yrs form 3) kapimwa kakutwa nao
Acha kabisa huu ugonjwa upo
nimeogopa sana