Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Mimi niliishi na hiyo hofu zaidi ya miaka kumi mpaka pale nilipokata shauri na kuamua kupima kwa hiari, nilishatembea na Wanawake waathirika zaidi ya watatu bila kujua, wawili wameshafariki and were corfimed HIV +, "Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi".

Mapenzi ya siri ni mabaya sana, maana kama ningeweka wazi ningeambiwa mapema sana maana mmoja kati ya rafiki zangu alikuwa anajua status ya Mwanamke ambaye nipo naye kwenye mahusiano kuwa ni HIV +.

Kuna siku nilimwambia Moja ya rafiki zangu kuwa natoka na huyo Mwanamke, jamaa alikuwa jasiri sana wala hakunificha, alinieleza hali halisi, tangu hapo niliishi maisha ya hofu sana, ilifika sehemu hata Wife alipokuwa mjamzito niligoma kabisa kwenda kupima.

My take. Mkienda miji ya watu unatakiwa kuuliza kwa wenyeji kabla ya kuanza kufakamia Wanawake au Wanaume.
 
Punguza hofu, kifo kipo tu, usipokufa kwa huo ugonjwa utakufa kwa kingine; wapo wanaoishi na hayo maambukizi kwa zaidi ya miaka 30
 
Mi mwenyewe nabaki kushangaa tu,yaani eti echiaiviii inipe msongo wa mawazo wakati ukiupata unaweza kuishi vizuri zaidi ya asiyenao ukitumia dawa vizuri na kula vizuri tena miaka mingi tu.

Mi naogopa kansa,kisukari, na presha tu,ndio magongwa yanayoubadili kabisa mfumo wa maisha yako
Hujakutana nao mkuu na normally binadamu ni mkaidi likimfika ndo majuto,maradhi hayazoeleki na wala hayafanani.

Yupo jamaa yangu hizi ndo zilikuwa kauli zake alikuja kukutana na wire mmoja wa moto sana hakuweza kuhimili majibu miezi minne tukamfukia chini 6foots,fikiria miaka 33 wazazi wamepoteza pesa kisha mtu anakufa kizembe.
 
Mkuu Kuwa Na Imani. Nikuulize Huyo Demu Baada Ua Kugundua Ana HIV Alichuka Hatua gani

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Ukimsoma jamaa katikati ya mistari utagundua demu alikuwa anaijua hali yake tayari that's why akamwambia jamaa majibu yake abaki nayo ikimaanisha yeye haitaji kujua zaidi maana anajijua.

Dizain huyu mwanamke amekuwa frustrated kiasi haogopi chochote.
 
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili.

Binafsi nina utaratibu wa kupima afya kwa kila mwanamke mpya ninaekutana nae, lakini siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Huyu mdada sikuwahi kukutana nae katika maisha yangu, kwa mara ya kwanza nimekutana nae MALAIKA BEACH HOTEL MWANZA ilikuwa ni usiku wa Jumapili, Mimi nikiwa ni mgeni pale kwa siku kadhaa na huyu dada alikuwa na marafiki zake kwenye meza iliyokuwa pembeni yangu. Kwa umbo na uzuri wamebarikiwa haswa.

Alikuwa amevaa vazi ambalo ukichanganya umbo na rangi yake kwa namna yoyote ile mwanaume yeyote aliyekamilika lazma atatamani kuwa karibu, na vyombo vilikuwa vimeshanikolea kama saa 6 hivi usiku nikamuita kumuomba kampani ahamie kwenye meza yangu hakusita, huo ukawa mwanzo ambao mwisho wake tukawa wote kwenye room yangu niliyofkia pale hotelini. Siku hii sikuwa na vipimo, nilijaribu kutafuta pale hotelini nikakosa ilibidi nichukue condom, Tukafanya sikuwa na vurugu katkati ya mchezo mwenyewe nikaomba kuchomoa ile condom akakubali hata hivyo sikuchukua mda nikamaliza baada ya kumaliza nikawa najilaumu sana na sikurudia tena mpaka alivyoondoka tukapanga, tukutane kesho yake ili tuweze kupima tufanye mambo yetu kwa uhuru, Akakubali.

kesho yake Jumatatu Akaja, na mimi nikawa tayari nimeshanunua Vipimo. Mwenzangu akabadilika akagoma kupima baada ya kumbembeleza kwa mda mrefu akakubali kwa sharti nianze mimi na majibu yeye nisimpe nibaki nayo mimi. Baada ya kupima majibu yake yakawa na changamoto. Nilijihisi kufa na isitoshe kipindi tunapimana ile kujitoboa nilishika kile kidole chake bila tahadhari, Sehemu ya damu yake ikagusana na kidole chngu nilichojitoboa kutoa damu. Hapa nilichanganyikiwa zaidi.

Asubuhi ya Jumanne nimeamka mapema kazi ilikuwa ni kusaka hospital ambayo naweza Kupata dawa za PEP ili nianze dozi, nilizunguka na boda kama kichaa. Jana nimemaliza hii dozi na kila wiki tangu nianze kutumia hii dozi nacheki afya yangu. Mpaka mda huu bado sijapata maambukizi ila nina hofu sana.

Kila nikifikiria huu ugonjwa napata shida sana.
Pole.

Kama sio girl au mkeo, tumia Condom tu. Achana na uzushi condom haina utamu, tanguliza afya yako kwanza...chakula ni kilekile.
 
Mimi niliishi na hiyo hofu zaidi ya miaka kumi mpaka pale nilipokata shauri na kuamua kupima kwa hiari, nilishatembea na Wanawake waathirika zaidi ya watatu bila kujua, wawili wameshafariki and were corfimed HIV +, "Mungu azilaze roho zao mahali pema peponi".

Mapenzi ya siri ni mabaya sana, maana kama ningeweka wazi ningeambiwa mapema sana maana mmoja kati ya rafiki zangu alikuwa anajua status ya Mwanamke ambaye nipo naye kwenye mahusiano kuwa ni HIV +.

Kuna siku nilimwambia Moja ya rafiki zangu kuwa natoka na huyo Mwanamke, jamaa alikuwa jasiri sana wala hakunificha, alinieleza hali halisi, tangu hapo niliishi maisha ya hofu sana, ilifika sehemu hata Wife alipokuwa mjamzito niligoma kabisa kwenda kupima.

My take. Mkienda miji ya watu unatakiwa kuuliza kwa wenyeji kabla ya kuanza kufakamia Wanawake au Wanaume.
Tatizo ya watu wanachagua kazi ambazo hawana ujasiri nazo. Sasa unachagua uzinzi alafu unaogopa ngoma tena.

Raha ya uzinzi ule mbususu kavu
 
Kwanini Mkuu

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Nilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt kama kweli HIV-Aids ipo?

Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotokea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayo hatimaye yata-wadhuru.

Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata Scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Nimekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.

Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said, "AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc." Indeed the symptoms of HIV-Aids resemble very much those of slow poisoning over time.
 
Tatizo ya watu wanachagua kazi ambazo hawana ujasiri nazo. Sasa unachagua uzinzi alafu unaogopa ngoma tena.

Raha ya uzinzi ule mbususu kavu
Ni kweli kula kavu ina raha, lakini ni vema kama mtakuwa mmepima wote.
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Na mimi huwa sijisumbuagi mambo ya kupima, nakunguta tu.
 
Nilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt Kama kweli HIV-Aids ipo?

Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotolea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayohatimaye Yana wadhuru.

Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Ninekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.

Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said that AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc.And indeed the symptoms of HIV-Aids resembles very much those of slow poisoning over time.
Asante

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom