Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mi mwenyewe nabaki kushangaa tu,yaani eti echiaiviii inipe msongo wa mawazo wakati ukiupata unaweza kuishi vizuri zaidi ya asiyenao ukitumia dawa vizuri na kula vizuri tena miaka mingi tu.
Mi naogopa kansa,kisukari, na presha tu,ndio magongwa yanayoubadili kabisa mfumo wa maisha yako
Noma sana!Mbona darasa lipo humu kitambo sana toka 2015 huko. Tafuta nyuzi za jamaa anaitwa deception. Ni nondo zenye ujazo wa hatari
Noma sana!Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
labda nikushauri tuNi siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili.
Binafsi nina utaratibu wa kupima afya kwa kila mwanamke mpya ninaekutana nae, lakini siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Huyu mdada sikuwahi kukutana nae katika maisha yangu, kwa mara ya kwanza nimekutana nae MALAIKA BEACH HOTEL MWANZA ilikuwa ni usiku wa Jumapili, Mimi nikiwa ni mgeni pale kwa siku kadhaa na huyu dada alikuwa na marafiki zake kwenye meza iliyokuwa pembeni yangu. Kwa umbo na uzuri wamebarikiwa haswa.
Alikuwa amevaa vazi ambalo ukichanganya umbo na rangi yake kwa namna yoyote ile mwanaume yeyote aliyekamilika lazma atatamani kuwa karibu, na vyombo vilikuwa vimeshanikolea kama saa 6 hivi usiku nikamuita kumuomba kampani ahamie kwenye meza yangu hakusita, huo ukawa mwanzo ambao mwisho wake tukawa wote kwenye room yangu niliyofkia pale hotelini. Siku hii sikuwa na vipimo, nilijaribu kutafuta pale hotelini nikakosa ilibidi nichukue condom, Tukafanya sikuwa na vurugu katkati ya mchezo mwenyewe nikaomba kuchomoa ile condom akakubali hata hivyo sikuchukua mda nikamaliza baada ya kumaliza nikawa najilaumu sana na sikurudia tena mpaka alivyoondoka tukapanga, tukutane kesho yake ili tuweze kupima tufanye mambo yetu kwa uhuru, Akakubali.
kesho yake Jumatatu Akaja, na mimi nikawa tayari nimeshanunua Vipimo. Mwenzangu akabadilika akagoma kupima baada ya kumbembeleza kwa mda mrefu akakubali kwa sharti nianze mimi na majibu yeye nisimpe nibaki nayo mimi. Baada ya kupima majibu yake yakawa na changamoto. Nilijihisi kufa na isitoshe kipindi tunapimana ile kujitoboa nilishika kile kidole chake bila tahadhari, Sehemu ya damu yake ikagusana na kidole chngu nilichojitoboa kutoa damu. Hapa nilichanganyikiwa zaidi.
Asubuhi ya Jumanne nimeamka mapema kazi ilikuwa ni kusaka hospital ambayo naweza Kupata dawa za PEP ili nianze dozi, nilizunguka na boda kama kichaa. Jana nimemaliza hii dozi na kila wiki tangu nianze kutumia hii dozi nacheki afya yangu. Mpaka mda huu bado sijapata maambukizi ila nina hofu sana.
Kila nikifikiria huu ugonjwa napata shida sana.
Noma sana!Nilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt Kama kweli HIV-Aids ipo?
Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotolea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayohatimaye Yana wadhuru.
Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Ninekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.
Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said that AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc.And indeed the symptoms of HIV-Aids resembles very much those of slow poisoning over time.
Duuh...! Watu mna hatari. Nina rafikiangu nae hana wasiwasi kabisa kuhusiana na HIV. Lakini kiukweli ndio ugonjwa ninaouogopa kuliko chochote hapa duniani. Kwanza unaanza kukuua kisaikorojia kwanza. Ngoma inatisha wakuu asikuambie mtuMi mwenyewe nabaki kushangaa tu,yaani eti echiaiviii inipe msongo wa mawazo wakati ukiupata unaweza kuishi vizuri zaidi ya asiyenao ukitumia dawa vizuri na kula vizuri tena miaka mingi tu.
Mi naogopa kansa,kisukari, na presha tu,ndio magongwa yanayoubadili kabisa mfumo wa maisha yako
Kwa taarifa yako TB na malaria kali hupelekea vipimo kusoma +ve. Na kumbuka TB ni magojwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa so obviously huyo mwenza wake asingeweza kuepuka majibu yaliyo sawa na partner wake. We unafukiri kuna cha ajab hapo¡!!!?
Bila shakaHuyu atakua mtoto wa 2005...hajawah kuona wagonjwa wa .H.I.V
Hakuna cha science hapo. Hili ni genge la matapeli wachache tu walioamua kuzitumia serikali za mazuzu kujichotea pesa za bure. Jiulize kwa nini ARV haiuzwi kama madawa mengine kwenye maduka ya madawa!!!Hii science ya huu ugonjwa unachanganya sana,Mara nyingi watu wanaopata TB wakipima HIV inakua +ve wachache sana inakua -ve.
Mm hata mke nakulana Kwa Kondom Huko ujimga wakumwamini MTU nilikuwa taa miaka 3 iliyopita
Hakuna cha science hapo. Hili ni genge la matapeli wachache tu walioamua kuzitumia serikali za mazuzu kujichotea pesa za bure. Jiulize kwa nini ARV haiuzwi kama madawa mengine kwenye maduka ya madawa!!!
Ni ya Nani sasaHii dunia sio yako unaogopa kufaaa
Kama ni kweli unayoyasimulia na umeamini hilo jione ww ni kilaza na bogas wa mwisho duniani. Ha ha ha, sijui nani katuloga jamani. Elimu elimu elimu inatakiwa sana.Hujakutana nao mkuu na normally binadamu ni mkaidi likimfika ndo majuto,maradhi hayazoeleki na wala hayafanani.
Yupo jamaa yangu hizi ndo zilikuwa kauli zake alikuja kukutana na wire mmoja wa moto sana hakuweza kuhimili majibu miezi minne tukamfukia chini 6foots,fikiria miaka 33 wazazi wamepoteza pesa kisha mtu anakufa kizembe.
Nani amekwambia ARV ni bure. Waulize wakuu wa serikali kama ni bure. Yani mzungu akuhurumie ww mtu wa nanjirinji huko akuletee dawa za bure!!Yeah hamna labda kwasababu ni bure ndio mana.
Binafsi ningeweza kukuunga mkono kwa hili, but no research, no right to speak, and when you do the research you must come out with evidence which contains data from authenticated sources which can provide truth information about certain phenomena.Nilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt Kama kweli HIV-Aids ipo?
Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotolea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayohatimaye Yana wadhuru.
Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Ninekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.
Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said that AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc.And indeed the symptoms of HIV-Aids resembles very much those of slow poisoning over time.
Wafia dini ya ukimwi hawapendi kabisa kusikia hii habariNilianza ku-doubt ukweli wa HIV-Aids zamani sana mkuu.Kwa nini nilianza ku-doubt Kama kweli HIV-Aids ipo?
Moja,Daktari mmoja alinitonya kwamba walipokuwa wanapima Aids bila kuingiliwa na wanaoitwa kimakosa wafadhili(hawa ni matapeli na wezi tu kama wengine),wao kama wao hawakupata cases za Aids.Daktari huyo akaendelea kuniambia something queer hapenned:Wafadhili hao walichagua watu wao,na hawajui kilichotolea, ila baada ya hapo,cases za HIV zikaanza kuwa reported.Daktari huyo anasema most likely hela ilitembea (kama ilivyotembea kwenye Covid).Akamalizia kusema,ukweli ni kwamba watu wengi wamesingiziwa wana Aids,na wanafakamia madawa ambayohatimaye Yana wadhuru.
Pili,kwa muda mrefu sasa nimekuwa najaribu kupata scientist yeyote ambaye ameshawahi ku-isolate the HIV-Virus sijapata.Ninekuwa nafanya hivyo hivyo kwenye Covid,lakini sijafanikiwa.Naomba kama yupo mtu hapa JF or anywhere ambaye ana scientific evidence kwamba the HIV Virus or the Covid Disease Virus has been isolated anipe,I will very much appreciate it.
Tatu na Mwisho,the former South African President Mbeki also doubted the assertion that HIV-Aids is caused by a Virus.He said that AIDS is not caused by a Virus but rather by poisoning from from various sources including medication,on the shelf foods,plastics,air pollution etc.etc.And indeed the symptoms of HIV-Aids resembles very much those of slow poisoning over time.
Sina tatizo lolote mkuu isipokuwa kunawatu wanachagulia wenzao nini wasikie na nini wafikirie na nini wafanye. Sasa ukiukataa huo utumwa unaoenakana wa tofauti sana ktk jamiiSijawahi kupitia comments za watu mwanzo mwisho hv ila huu uzi imebidi[emoji38][emoji38]
Huyu jamaa goodhearted daah kuna tatizo mahali au imekuaje aisee[emoji28]
Naomba Kuuliza Hivi Wazungu Pia Wana Ukimwi?Kama ni kweli unayoyasimulia na umeamini hilo jione ww ni kilaza na bogas wa mwisho duniani. Ha ha ha, sijui nani katuloga jamani. Elimu elimu elimu inatakiwa sana.
Yani wapiga zumali wakuu wa ukimwi wanawambeni unaweza kuishi nao hata miaka kumi bila dalili yoyote af ww unatuletea habari za miezi 4 na ww unaamini aliuawa na ukimwi kweli???