Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Wewe jamaa ni Mpuuzi sana.Sasa umefaidi utamu,umejipima kabla na baada ya mchezo uko salama ,kinachokufanya uchanganyikiwe ni nini sasa??.
 
Nina mademu wawili. Wote wana huo ukimwi wenu feki tena kwa kuwapima mwenyewe kwani walikuwa hawaamini kwamba naweza kuwa nao ili hali wao ni positive mm negative. Nakung'uta kavu na niko sawa kabisa
Mhh acha kudanganya watu
 
No kuna mtu X namfaham alikua anaishi na mtu but hakuwahi kujua kama ana hiv na hajawai kumuona akimeza dawa au kuona dawa zake kwa kifupi hamezi dawa Yan mpaka leo na wala haumwi na ukimuona huwezi jua kama anao but baada ya muda yule mtu X akaanza kuumwa mara kikohozi mara kwa mara na mwili ulianza kubadilika ikabid aende hosp kubwa wakampima TB ikawa +ve wakamwambia lazima apime HIV akakutwa nayo,alichanganyikiwa sana but wakamshauri vizur nakumwambia amuite huyo mtu wake alikubali ikawa +ve nae anyway point yangu Mbona huyu mtu X hakujua kama alikua nao but mwisho wa siku akaanza kuugua?
Kwa taarifa yako TB na malaria kali hupelekea vipimo kusoma +ve. Na kumbuka TB ni magojwa yanayoambukizwa kwa njia ya hewa so obviously huyo mwenza wake asingeweza kuepuka majibu yaliyo sawa na partner wake. We unafukiri kuna cha ajab hapo¡!!!?
 
Sijawahi kupitia comments za watu mwanzo mwisho hv ila huu uzi imebidi[emoji38][emoji38]

Huyu jamaa goodhearted daah kuna tatizo mahali au imekuaje aisee[emoji28]
 
Mwishowe madawa ndo yakuuwe kwa kuharibu mafigo na maini.
 
Back
Top Bottom