Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Hofu ya maambukizi ya VVU inanimaliza kiafya, nilishiriki ngono na muathirika wa UKIMWI

Naomba Kuuliza Hivi Wazungu Pia Wana Ukimwi?

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
Hawa matapeli hawana cha mzungu mwenzao wala mwafrika. Yeyote anajiingiza anga zao wanapiga tu hawaangalii makunyanzi. So kuna wazungu maboya kama walivyo waeusi wengi wanapigwa ile ile japo si wengi ukilinganisha na sisi. Ndo maana kule ukimwi sio habari kiivyo
 
Poa

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Alafu nikishadanganya nafaidika nini.Tatizo hupendi kushughulisha akili yako. Kila unachoambiwa na mzungu kwako ni yes.
Acha kudanganya watu ww kijana, Ukimwi upo na ulikua unauwa watu Sanaa zamani kabla ya Kuthibitika, watu walikua hawajui wanakufa na nini, wanakonda, kuharisha na Kutapika mpaka ilipokuja Kuthibitika ni Ugonjwa wa Ukimwi.

Pili huu Ugonjwa ilishawekwa Wazi ni Ugonjwa uliotengenezwa maabara Marekani Kwa lengo la kuwamaliza watu weusi na maandiko Yako wazi tu ni uvivu wako kusoma.
 
Acha kabisa mkuu, mpaka miezi 5 ipite ndio naweza kurudi kwenye maisha yangu ya kawaida kama hali ya kiafya itabaki kama ilivo sasa
Hofu yako tu, kwanza unasema hukukamia sana gemu, sidhani kama ilifika hatua ya wewe na yeye kupata michubuko.
Pili, umewahi kuzitumia hizo damu Mungu kakuonya usixheze jiran na petrol.

Naifahamu situation unayopitia maana hata mimi enzi zangu imenikuta hiyo hali.

Baada ya kupewa hizo dawa na jamaa yangu muuguzi sikulidhika by that moment ikabidi niende hospital kubwa kumuona daktar.
Swali langu lilikua, nimepita mazingira mabaya na nimepewa hizi dawa, je ni sahihi au kuna dawa zaidi inanipasa nizitumie!???

Akanijibu, relax kijana, hata sisi huwa tunazitumia mara nyingi baada ya kujichoma na sindano au chochote tukiwa kazin, lkn pia watu au watoto walio bakwa huwa tunawapa hizo dawa ( pep), kwa hiyo ni salama kwa asilimia 95.

Mungu mwema tangu 2019 mpaka leo nipo poa.
I hope upo safe ila jambo la msingi acha mitungi mrudie Mungu.

Nakumbuka Mitungi iliniponza hata mimi, unafika hatua unakua na negligence ya vitu vya msingi.
Usiwaze am sure 97 upo safe.
 
Ni siku ya 31 leo tangu nianze kutumia dawa za Kuzuia maambukizi ya Ukimwi kwa watu walio hatarishi kupata ugonjwa huo (PEP), Dozi hii nimeimaliza jana.Hofu niliyo nayo imenifanya nishndwe kufanya kitu chochote cha maana zaidi ya kuzorota mwili.

Binafsi nina utaratibu wa kupima afya kwa kila mwanamke mpya ninaekutana nae, lakini siku ya kufa nyani miti yote huteleza.
Huyu mdada sikuwahi kukutana nae katika maisha yangu, kwa mara ya kwanza nimekutana nae MALAIKA BEACH HOTEL MWANZA ilikuwa ni usiku wa Jumapili, Mimi nikiwa ni mgeni pale kwa siku kadhaa na huyu dada alikuwa na marafiki zake kwenye meza iliyokuwa pembeni yangu. Kwa umbo na uzuri wamebarikiwa haswa.

Alikuwa amevaa vazi ambalo ukichanganya umbo na rangi yake kwa namna yoyote ile mwanaume yeyote aliyekamilika lazma atatamani kuwa karibu, na vyombo vilikuwa vimeshanikolea kama saa 6 hivi usiku nikamuita kumuomba kampani ahamie kwenye meza yangu hakusita, huo ukawa mwanzo ambao mwisho wake tukawa wote kwenye room yangu niliyofkia pale hotelini. Siku hii sikuwa na vipimo, nilijaribu kutafuta pale hotelini nikakosa ilibidi nichukue condom, Tukafanya sikuwa na vurugu katkati ya mchezo mwenyewe nikaomba kuchomoa ile condom akakubali hata hivyo sikuchukua mda nikamaliza baada ya kumaliza nikawa najilaumu sana na sikurudia tena mpaka alivyoondoka tukapanga, tukutane kesho yake ili tuweze kupima tufanye mambo yetu kwa uhuru, Akakubali.

kesho yake Jumatatu Akaja, na mimi nikawa tayari nimeshanunua Vipimo. Mwenzangu akabadilika akagoma kupima baada ya kumbembeleza kwa mda mrefu akakubali kwa sharti nianze mimi na majibu yeye nisimpe nibaki nayo mimi. Baada ya kupima majibu yake yakawa na changamoto. Nilijihisi kufa na isitoshe kipindi tunapimana ile kujitoboa nilishika kile kidole chake bila tahadhari, Sehemu ya damu yake ikagusana na kidole chngu nilichojitoboa kutoa damu. Hapa nilichanganyikiwa zaidi.

Asubuhi ya Jumanne nimeamka mapema kazi ilikuwa ni kusaka hospital ambayo naweza Kupata dawa za PEP ili nianze dozi, nilizunguka na boda kama kichaa. Jana nimemaliza hii dozi na kila wiki tangu nianze kutumia hii dozi nacheki afya yangu. Mpaka mda huu bado sijapata maambukizi ila nina hofu sana.

Kila nikifikiria huu ugonjwa napata shida sana.
Hujaukwaa mzee wa kazi,kula maisha tu bila hofu...wiki mbili tu za mwanzo zilikuwa zinatosha kujijua health status yako lkn kama hadi sasa upo good ndo imeisha hiyo
 
mrudie Muumba wako tubu, na uoe uwe na mke wako mmoja, haya yote hayatakupata hofu ni ugonjwa mbaya sana, na kamwe usiamini hizo prep ipo siku utazikosa ndipo hapo utalia na kusaga meno, be very careful aids kills.
Kwamba Mwana, Wewe huna mchepuko? Ahaaa jameni tusitake kuumbuana hapa?! Mwambie tu akumbuke kutumia kinga. Humu kuna watu wanadhani wameficha ID zao ehee na hawafahamiki, acha mentality hiyo otherwise utaumbuka bure!!!! Nimemaliza...

Sasa we tema mate, uone yanapokaukia....
Umesikia Nazareth1989 ???

Sote ni ndugu tuishi tu! Warumi 23:13 ishi nao ujumbe huu mtumishi mwenzangu kanisani[emoji38]
 
Madem wenye ngoma 100% siku hizi ..

Wana matako makubwa, Mahips na wanatakata sana .
Halafu zile dawa zinawakubali kweli kweli! Unajua hawanaga stress?!! Kwa sababu wamekubali kuishi nao, isitoshe wanajua wanachofanya..Haiwezekani mtu umemtongoza hachukui round anakubali?! Ngumu sana hiyo?!

#Tuishijamaayangu.
 
Nani amekwambia ARV ni bure. Waulize wakuu wa serikali kama ni bure. Yani mzungu akuhurumie ww mtu wa nanjirinji huko akuletee dawa za bure!!
Pole yako

Namanisha wagonjwa hawanunui lol
 
Hofu ya kunyandua manzi mwenye ngoma we iache tu.
Mara ya kwanza kunitokea alikuwa sister fulani aliyekuwa karithishwa nyumba na wazazi wake. Nikaenda kucheki ghetto sikupapenda lakini tukabaki tunawasiliana. Nikamtonya game akakubali, muda wa show ulipofika aliniambia kitu ambacho sukukifikiria sana lakini kilikuwa na maana kubwa "usipokuja na condoms shauri yako".
Siku chache baada ya kugonga nikapata taarifa toka kwa watu tofauti kuwa manzi kaungua. Sikuwa na hofu sababu nilitumia ndom ya rough rider tena kwa ufasaha.
Mara nyingine alikuwa sister mmoja rafiki yangu, kuna siku nikamtonya game akakubali, kwenye show ile ndio navaa ndom nikamuona anapaka lubricant kwenye K, nikamuuliza hiyo vipi tena? Akajibu 'ni kwa ajili ya usalama wako'. Nikamuuliza ulishaungua? Akajibu kitambo sana. Kwa kuwa kila mwanamke namchukulia kama hazardous being, nikagonga show kama kawaida. Baada ya game nikamuuliza ulipataje ukimwi? Alichonishangaza alichukulia lile swali kawaida, akanijibu kwa uwazi kuwa boyfriend wake aliambukizwa na sugar mama na yeye akamwambukiza.

Ni ngumu sana kumjua mtu mwenye ukimwi, hasa kwa wanaotumia madawa. Usikubali starehe ya nusu saa au lisaa ikakusababishia shida kwa miaka zaidi ya 30. Cha kufanya kama wote hamjapima pamoja vaa condom kwa usahihi, itakusaidia.
 
Acha kabisa mkuu, mpaka miezi 5 ipite ndio naweza kurudi kwenye maisha yangu ya kawaida kama hali ya kiafya itabaki kama ilivo sasa
Nataka unambie kwa nini katikati ya tendo wewe ndo ukaomba kuvua kinga? Nini kilikupata?😂

Ila waoga tuko wengi hapa duniani mimi na umri huu mkubwa hivi hata tupime mara mia mbili siwezi shiriki tendo bila kinga.niko tiyari nimpoteze mwanaume ambae nampenda pale anapoomba tusitumie kinga.

Hapa nawaza ikitokea nikapata ndoa itakuwaje maana nasikia kwenye ndoa hawavaagi ma mifuko haya.
Kwanza nawazaga nikipata mimba itakuwaje? Nikipata ukimwi itakuwaje?

Hapa kuna dada namzidi umri yeye ana 28 usimwambie mambo ya kinga, kwa kweli duniani kuna watu waoga mimi ni no moja.

Anyway, kwakuwa umemaliza dawa, fanya hivi nenda damu salama, ukadonate damu, kwanza watakupima wingi wa damu wakikuta inatosha wataitoa, sasa damu ile vile vipimo vyao hata ukimwi wa siku moja lazima uonekane.
Watakupa siku 14 ndo uende kuchukuwa majibu. Wakikuta damu yako ni salama watakupa tena trh ya kwenda ku donate mara ya pili.

Ila kwa maelezo yako, uko salama.punguza woga.
 
Acha kabisa mkuu, mpaka miezi 5 ipite ndio naweza kurudi kwenye maisha yangu ya kawaida kama hali ya kiafya itabaki kama ilivo sasa
Unaweza ukachukua hata mwaka.

Kiufupi puuzia mawazo hayo ya kukusababishia maumivu.
Mungu akusaidie.
 
Hofu yako tu, kwanza unasema hukukamia sana gemu, sidhani kama ilifika hatua ya wewe na yeye kupata michubuko.
Pili, umewahi kuzitumia hizo damu Mungu kakuonya usixheze jiran na petrol.

Naifahamu situation unayopitia maana hata mimi enzi zangu imenikuta hiyo hali.

Baada ya kupewa hizo dawa na jamaa yangu muuguzi sikulidhika by that moment ikabidi niende hospital kubwa kumuona daktar.
Swali langu lilikua, nimepita mazingira mabaya na nimepewa hizi dawa, je ni sahihi au kuna dawa zaidi inanipasa nizitumie!???

Akanijibu, relax kijana, hata sisi huwa tunazitumia mara nyingi baada ya kujichoma na sindano au chochote tukiwa kazin, lkn pia watu au watoto walio bakwa huwa tunawapa hizo dawa ( pep), kwa hiyo ni salama kwa asilimia 95.

Mungu mwema tangu 2019 mpaka leo nipo poa.
I hope upo safe ila jambo la msingi acha mitungi mrudie Mungu.

Nakumbuka Mitungi iliniponza hata mimi, unafika hatua unakua na negligence ya vitu vya msingi.
Usiwaze am sure 97 upo safe.
Ahsante kwa hili andiko lako mkuu
 
Nataka unambie kwa nini katikati ya tendo wewe ndo ukaomba kuvua kinga? Nini kilikupata?😂

Ila waoga tuko wengi hapa duniani mimi na umri huu mkubwa hivi hata tupime mara mia mbili siwezi shiriki tendo bila kinga.niko tiyari nimpoteze mwanaume ambae nampenda pale anapoomba tusitumie kinga.

Hapa nawaza ikitokea nikapata ndoa itakuwaje maana nasikia kwenye ndoa hawavaagi ma mifuko haya.
Kwanza nawazaga nikipata mimba itakuwaje? Nikipata ukimwi itakuwaje?

Hapa kuna dada namzidi umri yeye ana 28 usimwambie mambo ya kinga, kwa kweli duniani kuna watu waoga mimi ni no moja.

Anyway, kwakuwa umemaliza dawa, fanya hivi nenda damu salama, ukadonate damu, kwanza watakupima wingi wa damu wakikuta inatosha wataitoa, sasa damu ile vile vipimo vyao hata ukimwi wa siku moja lazima uonekane.
Watakupa siku 14 ndo uende kuchukuwa majibu. Wakikuta damu yako ni salama watakupa tena trh ya kwenda ku donate mara ya pili.

Ila kwa maelezo yako, uko salama.punguza woga.
Nikivaa condom sipati hisia madam
 
Duuh...! Watu mna hatari. Nina rafikiangu nae hana wasiwasi kabisa kuhusiana na HIV. Lakini kiukweli ndio ugonjwa ninaouogopa kuliko chochote hapa duniani. Kwanza unaanza kukuua kisaikorojia kwanza. Ngoma inatisha wakuu asikuambie mtu
Ukimwi sio ugonjwa mkuu,ndio maana siku hz hukuti wagonjwa wake wakilazwa mahospitalini,hukuti wanakondeana kama zamani,wanakula dawa na wanaendelea na maisha kama kawa,na kama mgonjwa ni mtu wa monde anagonga kama kawa
 
Haki tena weee hujui, hujawahi pita pabovu , wengi tulikuwa tunasema hivyo hivyo siku ya kikukuta ndo utajua,
Mimi hata nikiupata sasa hv,sitajuta,sana sana nitakula mbaazi na kuendelea na maisha yng,siwezi kujikondesha halafu nijifie niwaache watoto wangu wajiteseka
 
Back
Top Bottom