Analyse
JF-Expert Member
- Jan 19, 2014
- 17,637
- 47,413
Ukimwi umepewa exception kubwa sana, kiasi kwamba watu wameacha kufikiria. Leo ukizini na mtu aliyesingiziwa huu ugonjwa alaf usipopata maambukizi, watasema ulimuandaa vzr, ooh hapakuwa na michubuko na blah blah nyingi. Ugonjwa kuupata mpaka masharti hivyo? [emoji1787][emoji1787]Sijawahi kupitia comments za watu mwanzo mwisho hv ila huu uzi imebidi[emoji38][emoji38]
Huyu jamaa goodhearted daah kuna tatizo mahali au imekuaje aisee[emoji28]
Ww si ni mwanaume? Unaujua ugonjwa wa gono? Demu akiwa na gono, mpake kilainishi kadri uwezavyo, alafu chomeka tu mashine Wala usipump. Then itoe ondoka, siku chache mbele lazima ukutwe na gonorrhea. Sasa huyu ukimwi yeye inakuwaje? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]