Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

Possibly jambo still ni Ngumu sana, Magufuli amewaachia somo Kubwa sana hawa wenye Mikono Mirefu, Ni ngumu tena kurudia kosa tena kwa kipindi kifupi ivi
 
Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!

Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!

Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!

MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!

Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!

Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.

Ama kweli zama huja na kuondoka!
Rais ajaye baada ya Samia ni January au Ridhiwan
 
Naogopa,somalia,congo na Libya walianzaga ivivi mkuu😔
Ndo viongozi wajifunze kwa watawala wa hizo nchi walikosoea, waache upuuzi na ujinga ili yaliyotokea huko yasitokee hapa kwetu
 
Back
Top Bottom