Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

Ndo viongozi wajifunze kwa watawala wa hizo nchi walikosoea, waache upuuzi na ujinga ili yaliyotokea huko yasitokee hapa kwetu
Ikitokea vita watapona wao siye na wanetu tutaangamia mkuu
 
Wote watasepa uarabuni na Ulaya wakiona kuna dalili ya kufungwa.

Watapewa hifadhi, makazi na kuishi maisha mazuri Tu huko Kwa kazi nzuri walizozifanyia hizo nchi za kigeni.
 
Ikitokea vita watapona wao siye na wanetu tutaangamia mkuu
Kwani watawala wa hizo nchi ulizotaja hatma za viongozi na familia zao zilikuwaje?
Unawasikia hadi leo wanaishi maisha ya fahari kama kipindi "wazee" wao wakiwa viongozi?!
Afterall wote walishatangulia mbele ya haki tena kwa mwisho mbaya sana na wa aibu.
Ogopa sana raia ifikie hatua ya kuchoshwa na viongozi wao wanaofanya mambo ya hovyo kuwaumiza
 
Je, ni kweli ataweza kuvumilia aendelee kukifuga kifungu cha kutoshtakiwa watangulizi wake?!

Je, ni kweli wanaopitisha vipengere vya hovyo kwenye MIKATABA ajaye anaweza kuwavumilia na kuwatangazia msamaha?!

Mwenzenu ninayo hofu kuu iliyo wazi kuhusu ajaye kutokuyavumilia hayo hapo juu!

MWENZENU NINAYO HOFU KUU HUENDA MSTAAFU AJAYE AKAISHIA LUPANGO!

Dalili si rafiki tena na mazingira yatamlazimisha ajaye kushindwa kuhimili kupuuza kwa sababu ya nyakati. Na ole yake itakuwa usoni pake endapo atalazimisha kupuuza!

Naanza kuhisi huenda unono na utamu wa kuwatumia mamburula kupitisha agenda zetu zinaelekea ukingoni kwa hisani japo kiduchu ya SEKONDARI ZA KATA.

Ama kweli zama huja na kuondoka!
Ukoo wa panya ni wa panya tu, hawezi kuzaliwa paka humo.
 
Watanzania ni waoga sana. Tunachokifanya sasa tutatutia miaka miwili ijayo tukisema ni ccm ni ccm kumbe sisi wenyewe ni tatizo.

Tunamsimamia asiyejua kutuongoza njia wakati yeye mwenyewe hajui?

Awamu ya pili mama siti alisumbua nchi hadi tukachanganyikiwa leo kaja mama siti mwingine wabongo wameshasahau yule mama siti wa awamu ya pili !!

Saa100 na mama siti tofauti ni umri ila upigaji ni ule ule.
Hivi alikuwa mama siti au ni yule Khadija?
 
Back
Top Bottom