Hofu yangu ni kwa Rais ajaye!

Ndo viongozi wajifunze kwa watawala wa hizo nchi walikosoea, waache upuuzi na ujinga ili yaliyotokea huko yasitokee hapa kwetu
Ikitokea vita watapona wao siye na wanetu tutaangamia mkuu
 
Wote watasepa uarabuni na Ulaya wakiona kuna dalili ya kufungwa.

Watapewa hifadhi, makazi na kuishi maisha mazuri Tu huko Kwa kazi nzuri walizozifanyia hizo nchi za kigeni.
 
Ikitokea vita watapona wao siye na wanetu tutaangamia mkuu
Kwani watawala wa hizo nchi ulizotaja hatma za viongozi na familia zao zilikuwaje?
Unawasikia hadi leo wanaishi maisha ya fahari kama kipindi "wazee" wao wakiwa viongozi?!
Afterall wote walishatangulia mbele ya haki tena kwa mwisho mbaya sana na wa aibu.
Ogopa sana raia ifikie hatua ya kuchoshwa na viongozi wao wanaofanya mambo ya hovyo kuwaumiza
 
Ukoo wa panya ni wa panya tu, hawezi kuzaliwa paka humo.
 
Hivi alikuwa mama siti au ni yule Khadija?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…