Samia atosha tukutane2030
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 17,728
- 49,762
Itakuwa Gamboshi wanatambika ili jiwe asidanji kwa COVID 21
Picha hii sio ya mjini..
Ni tafakuri tu mkuu.Huyo chura ni binamu yake tulia ?
Maombi Yetu Kuhusu COVID 19Hata sasa nipo maeneo ya Nyegezi nikicheki milimani naona ni ukungu ukungu
Hata Shinyanga mida ya saa 7 mchana mpaka saa 9 halilikuwa hivyo kama kunguni fulani hivi, ingawa ilifuatiwa na mvua kubwa maeneo ya Kitangili, Kizumbi na Nhelegani ikiambatana na upepo mkali!Ni karibu Kanda ya ziwa yote. Idara ya hali ya hewa itoe ufafanuzi. Nipo Mkoa mmojawapo wa Kanda hii. Eneo lote Kuna hiyo hali
Wanaume wa mkoani bwana wanaogopa Hadi vumbi na ukungu. 😂😂😂😂 Bora wa dar wanaogopa panya road
Hawakawii kusema ni kihama etiHata picha wanaogopa kuchukua. Hiyo ni Fog ukungu. Itavyooneka ulipo inategemeana na maji mfano lake VIctoria, topography na vitu vingine kama upepo, humidity, etc.
Ni mawingu yanapokutana na ardhi au yapo karibu na ardhi. Kitu kama hikichini
View attachment 1707578
Hawakawii kusema ni kihama eti