Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

Wanao jiita TMA wametulia.
Then baada waje wakurupuke na taarifa zao.
Picha tafadhali
 
Lakini hi hali ni kama ukungu umetanda sehemu kubwa. Kuna uwezekano likawa vumbi la Jangwa la Sahara limefika huku Mashariki
Bunda wame confirm hali hiyo. Anga lilikua chafu sana wekundu na ukiangalia milimani ukungu wa kutosha ilhali jua linawaka
 
Mafinga njombe mbeya iringa na mbinga Hali hiyo imezoeleka
Sio ukungu wa baridi ni kanakwamba kuna msitu mnene umechomwa mahali kisha moshi ukatanda na kufunika miji. Ama tuseme vumbi nene litande angani. Nadhani umeelewa
 
Hata picha wanaogopa kuchukua. Hiyo ni Fog ukungu. Itavyooneka ulipo inategemeana na maji mfano lake VIctoria, topography na vitu vingine kama upepo, humidity, etc.

Ni mawingu yanapokutana na ardhi au yapo karibu na ardhi. Kitu kama hikichini



View attachment 1707578
Sio ukungu wa baridi ni kanakwamba kuna msitu mnene umechomwa mahali kisha moshi ukatanda na kufunika miji. Ama tuseme vumbi nene litande angani. Nadhani umeelewa. Nimeishi arusha hali ya ukungu ilikua inatokea lakini sio ukungu huu unaozungumziwa na mtoa mada
 
[emoji38][emoji38][emoji3][emoji3][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Leo ni nyungu day kila nyumba, ndo maana umeona ukungh wa moshi
 
Lakini hi hali ni kama ukungu umetanda sehemu kubwa. Kuna uwezekano likawa vumbi la Jangwa la Sahara limefika huku Mashariki
Hamatan yenyewe Ghana haijatokea this year, huu mwaka wa ajabu sana.

Everyday is Saturday............................... 😎
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Back
Top Bottom