Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

Hofu yatanda Jijini Mwanza, wakazi wajifungia ndani ya nyumba zao siku nzima ya leo

Hiyo picha nimeipiga jana mida ya 11:31 jioni.
Hii hali imeanza jana ila hadi sasa bado ipo na si kwamba watu hawatoki ndani labda huko kwingine lakin huku mambo yanaendelea kama kawaida cha ajabu tu tunashangaa imedumu kwa muda mrefu inawezekana Mungu amejibu maombi kwa kulifutilia mbali li corona.
 

Attachments

  • AEBDC816-B52F-4D3A-8204-F89D67A1F3F4.jpeg
    AEBDC816-B52F-4D3A-8204-F89D67A1F3F4.jpeg
    203.2 KB · Views: 8
Hiyo picha nimeipiga jana mida ya 11:31 jioni.
Hii hali imeanza jana ila hadi sasa bado ipo na si kwamba watu hawatoki ndani labda huko kwingine lakin huku mambo yanaendelea kama kawaida cha ajabu tu tunashangaa imedumu kwa muda mrefu inawezekana Mungu amejibu maombi kwa kulifutilia mbali li corona.
Daah..
Africa sisi!!
Weather gone viral hiki kipindi pamoja na userious,clips na vikomedi mule,hua wanatoa elimu nzuri sana kuhusu weather.
Jarjbu kupitia channel yao au vipindi vyao mtandaonj mkuu.
Utakuja futa huu ujinga hapa..
N.b ujinga sio tusi
 
Sio ukungu wa baridi ni kanakwamba kuna msitu mnene umechomwa mahali kisha moshi ukatanda na kufunika miji. Ama tuseme vumbi nene litande angani. Nadhani umeelewa. Nimeishi arusha hali ya ukungu ilikua inatokea lakini sio ukungu huu unaozungumziwa na mtoa mada

Ok, kwanini hawaweki picha?
 
Mwenye mapepo ni wewe pamoja na yule aliyewabomolea nyumba Watanzania ili ajenge barabara, akasababisha watu wafe kwa BP, huyohuyo akazuia Watanzania wengine wasibomolewe nyumba zao kisa tu ni kabila moja. Kama si pepo la kisirani linamsumbua ni nini unadhani?
unamapepo sio wewe unayeandika hapa bali ni mapepo yaliyomo ndani yako.
 
Vipi hukoo? ukungu bado upoo...isije ikawa nibiru inakaribia.
 
Mwenye mapepo ni wewe pamoja na yule aliyewabomolea nyumba Watanzania ili ajenge barabara, akasababisha watu wafe kwa BP, huyohuyo akazuia Watanzania wengine wasibomolewe nyumba zao kisa tu ni kabila moja. Kama si pepo la kisirani linamsumbua ni nini unadhani?
mapepo mapepo mapepo,
 
Daah..
Africa sisi!!
Weather gone viral hiki kipindi pamoja na userious,clips na vikomedi mule,hua wanatoa elimu nzuri sana kuhusu weather.
Jarjbu kupitia channel yao au vipindi vyao mtandaonj mkuu.
Utakuja futa huu ujinga hapa..
N.b ujinga sio tusi
Mkuu ujinga ni upungufu wa taarifa kamili na wala si tusi.
Sasa cha ajabu bado hujanipa hayo maarifa/taarifa kamili ili nitoe huo ujinga.
N.B. Ukimkosoa mtu kwa ujinga bila kufafanua kwa taarifa kamili mjinga unageuka wewe na si yeye, kwa mantik hiyo hapo imaonesha wewe ndo mjinga kuleta ujuaji kwenye jambo usiloweza kulielezea kikamilifu.
 
Back
Top Bottom