mzeewaSHY
JF-Expert Member
- Aug 31, 2021
- 8,916
- 8,630
Kwani anahudumiaje kila mkazi au kila nyumba ya wakazi wa jimbo ? Si hoja wingi wa watu yeye hahudumii mtu mmoja mmoja kama Daktari anavyofanya !!we unajua maana ya ukubwa wa jimbo? we akili yako ni km hao nyumbu wa Ngorongoro. Jimbo la Arusha lina wakazi 617,631 na jimbo la Ngorongoro lina wakazi 273,349. Jimbo la Arusha ni zaidi ya mara 2 ya jimbo la Ngorongoro. au umehesabu na wanyama? Hivi kwanini wapumbavu km wewe huwa wanazaliwa? Nimesikitika sana. Hata hivyo sishabikii ugawaji wa majimbo kwani nashangaa mbunge moja anashindwaje kuhudumia wakazi km laki 7.
Mbunge kazi yake ni kupigania hizo huduma za kijamii ziletwe jimboni kwake! Kama maji barabara na vitu kama hivyo !! Anachotakiwa kufanya huyo mbunge ni kuvisemea Hivyo vitu na kufuatilia ili vifanyike basi !!