Hofu yatanda kwa Wabunge wa CCM, baada ya Tulia Ackson sasa Mrisho Gambo ataka jimbo la Arusha ligawanywe

Kwani anahudumiaje kila mkazi au kila nyumba ya wakazi wa jimbo ? Si hoja wingi wa watu yeye hahudumii mtu mmoja mmoja kama Daktari anavyofanya !!

Mbunge kazi yake ni kupigania hizo huduma za kijamii ziletwe jimboni kwake! Kama maji barabara na vitu kama hivyo !! Anachotakiwa kufanya huyo mbunge ni kuvisemea Hivyo vitu na kufuatilia ili vifanyike basi !!
 
Mbeya mjini,
Arusha mjini,
Bumbuli,
Korogwe vijijini,
Ubungo,
Kawe,
Kibamba,
Kwa yule mlevi mpenda beer,
Hai,
Iringa mjini,
Jimbo la Lissu na
Muheza.
 
Mbeya mjini,
Arusha mjini,
Bumbuli,
Korogwe vijijini,
Ubungo,
Kawe,
Kibamba,
Kwa yule mlevi mpenda beer,
Hai,
Iringa mjini,
Jimbo la Lissu na
Muheza.
Wapigweee tumechoka
Ni aibu sana kwa chama kinacho jinasibu kuongoza taifa kinaogopa uchaguzi.
Kinaengua wapinzani eti kipite bila kupingwa.
Sijawahi wadharau ccm kwa kiwango hiki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…