mrangi
JF-Expert Member
- Feb 19, 2014
- 96,490
- 138,365
Na wakamchangia hela 😄Mlisha tiki October, huu ndo muda wa kukinywea kikompee
Watulie tuli tu wawe wapole
Ova
Na wakamchangia hela 😄Mlisha tiki October, huu ndo muda wa kukinywea kikompee
Wamepewa chai ya moto kwenye kikombe cha bati, í ½í¸Na wakamchangia hela í ½í¸
Watulie tuli tu wawe wapole
Ova
Siwalikuwa wana waona watu walioandama ni wajinga so wapambane tu na Hali YaoUnaongea tu ni kwa vile huko njema, assume hauna kitu, na wewe ungekuwa unapambana mahali. Shida ya Tanzania ni kutosaidia wafanya biashara kama hao. Hao ni kama kondoo waliokosa mchungaji au kukua wa kienyeji. Generally CCM hawana mipango na watu wake.
Walipelekwa kutokea wapi?Mlipowapeleka mlitegemea nini?
Na Mbaya Zaidi Kitafunwa Pilipili....Wamepewa chai ya moto kwenye kikombe cha bati, í ½í¸
Ile Beach wakifanya iwe private watu wengi wataafhirika aiseWamepewa chai ya moto kwenye kikombe cha bati, í ½í¸
Nasikia huko dampo wanapoenda tupa taka hakuingiliki,grader sjui excavator mbovuDar ni jiji chafu sana
Sijahama nchi mkuu,nmekuj kuchek familia tu huko ntarud tuKwa kweli hapana, mbona wewe mwenyewe umehama nchi
Inatakiwa uende kwa utilivu, ufike upaki gari kama zamani miaka ya 90 kumetulia mpaka wahindi walikuwa wanakuja picknic pale familia nzima, walivyoweka yale mabanda kumekuwa tena sio sehemu ya kistaarabu, ni kama wameweka sehemu ya migahawa kama vile uko manzese.
Injii inamambo injiiIle Beach wakifanya iwe private watu wengi wataafhirika aise
Maana ild ni sehemu ya wenzangu na mm kwenda kuenjoy,kuna kizazi ambacho hata beach fukwe hawatoigusa
Ova
Aisee. Japo sio vizuri kumtakia mtu mabaya yakini napenda kuchukua nafasi hii kusema kwamba WAKOME, kesho na keshokutwa wapende haki, waachane na uchawa.Na Mbaya Zaidi Kitafunwa Pilipili....
Public Beach ni Public Propert for Public Access to the ocean.Ni wakati wa jiji la DSM kuwa na maeneo ya kupumzikia (parks)... Kama mwekezaji atapaendeleza coco beach kwa ajili ya wananchi kupumzika haina tatizo cha muhimu gharama ziwe rafiki na kodi zilipwe. Tatizo ni kama mwekezaji atajenga majengo ya hotel na kuzuia wananchi kujinafasi. Hawa wafanyabiashara wadogo mara nyingi hawafuati sheria na kutaka kuonewa huruma kipuuzi. JPM alikuwa na mazuri yake ilakuruhusu wafanyabishara wadogo wapange biashara hadi barabarani ilikuwa sio sawa. Ninasubiri maelezo ya halmashauri ili niweze kutoa maoni yenye tija.
Mwekezaji ni Mwarabu?Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji.
Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji.
Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.
Watu wanataka wale Fungu la maana nyie mnaweka giza na mihogo yenu. Mabanda pelekeni Chanika😂Wamachinga wa "KOKOBICHI* walimchangia tsh 2m za fomu kwa rais vp leo mbona mnahamishwa kulikoni
Ccm haijawah kuwa rafiki kwa wafanyabiashara wadogo
JPM alipambana sana kuhakikisha coco inabaki kuwa ya wananchi
Kasome sheria ya ardhi kwanza.Public Beach ni Public Propert for Public Access to the ocean.