Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach, wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji

Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach, wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji

Sahizi Coco inauzwa kwa mwekezaji, waswahili wote mtaishia Kawe Beach au Mikadi beach. Lengo ni kuhakikisha wanabakia wahindi na warabu tu kusogelea ile fukwe.
Kawe Beach yenyewe kuingilika mbinde
Labda wahamie Beach mavi mkuu

Ova
 
Coco Beach yale maji yanavyonuka mavi , ivi watu wanaendaga pale kufanya nini?😂.
Beach chafu sana ile.

Huyo mwekezaji ana kazi ya kuisafisha kwanza hiyo Beach, asije akajenga msikiti atupigie makelele.
Mipango miji uzigatiwe.
 
Hofu yatanda kwa wafanyabiashara wa Coco Beach: Wadai kupewa mwezi mmoja kuondoka kumpisha mwekezaji.

Wakizungumza na The Chanzo leo, wajasiriamali na wafanyabiashara wadogo kwenye fukwe za Coco wamesema baadhi ya viongozi na watendaji wa Halmashauri ya Kinondoni waliwaita na kuwapa taarifa ya kutakiwa kuondoka ndani ya siku 30 kupisha uwekezaji.

Katika malalamiko ya wafanyabiashara hao, wameeleza pia kusikitishwa na kauli za watendaji hao kwa mfanyabiashara wa kike, kauli zenye viashiria ya kutaka rushwa ya ngono. Kufuatia malalamiko haya ya wafanyabiashara wadogo, The Chanzo inaendelea na jitihada za kuwapata halmashauri ya Manispaa ya kinondoni kutoa ufafanuzi juu ya madai ya wafanyabiashara hawa.

Huyo pisi mzuri haswaaa...huyo afisa biashara kwa clip hii ajiandae kufunga virago kosa rushwa ya ngono
 
Ushauri: Hao wajasiriliamali wangepewa elimu ya hotel management,
Ingewasaidia kuwa na nidhamu ya KAZI
 
Hayo mabanda wamejenga wao au ufadhili wa ma kampuni ya vinywaji!

Ova
Mixed, wapo waliojenga wenyewe na wengine ni shared na companies
Hata huyo mwekezaji akija hatojenga mijumba ya matofali

Ova
Tatizo lilopo kwa hao wajasiriliamali wa Coco Beach hawana elimu na kuhudumia wateja kitalii, usafi, nidhamu, staha.
Wao wanafanya Biashara kwa mazoea na uhuni.
Na ndio maana Wana onekana ni kero.

Ila wakipewa elimu ya uhudumu wa hotel na upishi mambo yatakuwa POA na Coco Beach patavutia , wataongeza mapato na serikali itakusanya Kodi vizur
 
Mixed, wapo waliojenga wenyewe na wengine ni shared na companies

Tatizo lilopo kwa hao wajasiriliamali wa Coco Beach hawana elimu na kuhudumia wateja kitalii, usafi, nidhamu, staha.
Wao wanafanya Biashara kwa mazoea na uhuni.
Na ndio maana Wana onekana ni kero.

Ila wakipewa elimu ya uhudumu wa hotel na upishi mambo yatakuwa POA na Coco Beach patavutia , wataongeza mapato na serikali itakusanya Kodi vizur
Lile eneo watu walibuni tu wenyewe wakaanza kuuza mihogo,serikali,jiji ndy walitakiwa waje na idea kuwapanga watu pale namna ya kukaa na kufanya biashara

Ova
 
Back
Top Bottom