Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,170
- 6,757
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.
Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.
Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?