Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.

Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.

Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
Ccm watajidai hawastuki lakini ukweli wafuasi wa magufuli wakijitenga kuanzisha chama chao kama inavyoonekana ccm itaanguka chali tumbo juu. Hao wataalam wao wa kuiba kura nape nnauwe na makamba kipara ngoto wstashindwa kuiba mamilioni ya kura kupata ushindi. Hapo ndipo tutaona ccm ikianza kutawala bila ridhaa ya wananchi kama hawatakua na ustaarabu kukabidhi dola.
Tofauti na uzushi wa chadema hapo ndio mtaiona ccm iliyoiba matokeo.
CCM inayopuuza itikadi yake ya kutetea maslahi ya umma lazima ianguke toka madarakani.
 
Bwana Paulsylvester Chama hata usajiri bado hakijapata tayari kimeshaanza kuogopwa? Kwa lipi? kinakuja na nini?

Ccm chama dola chama dume ndio kiogope Umoja party kweli?
Kitaogopwa kwa Sera nzuri zenye kubeba maslahi ya wananchi na nchi yenyewe.
 
Tatizo Elimu ndogo huwezi elewa, alikua sana uchumi wa muda mrefu maana mzunguko wa pesa (Currency in circulation + Demand Deposits) zilishuka sana kwa sababu ya biashara kufungwa na serikali kuingilia private sector na pia kufanya biashara rejea kulazimu TTCL na Air Tz ziwe competitors.

Alifanya contractive monetary policy iliyobana fedha kushuka chini so alipata Hela za kujenga madaraja ila mtu wa CHINI alikosa pesa coz alipunguza govt expenditure ambayo ni component kubwa kwenye GDP.

Alitumia TBA kujenga meaning private entities zikafa kwa kukosa tender za serikali. Kuhamisha account za wizara huko commercial banks na kuzirundika BOT ambapo hazizai kuliwanyima benki credit creation.

Alipandisha Reserve ratio requirement ya BOT hivyo pesa ikabaki serikalini tu.

Then Miradi Kila mtu anafanya mbona JK akileta Bomba la gesi, barabara nchi nzima, Kinyerezi 1 and 2 zilianzia kujengwa kipindi chake, alipanua airport ya DSM, alijenga mwendokasi, Akileta maji kutoka ziwa Victoria na ssa yamefikia nzega etc tatizo mnamkuza sana JPM as if waliopita hawakufanya kitu!!

In fact Miradi ya JPM inaendeshwa kwa mkopo ssa Samia akikopa mnapiga kelele ingekua pesa za ndani sawa ila kukopa nani hawezi??

Kweli CCM imejaa vilaza
We nae na Elimu yako kumbe brainwash tu.
 
Hakuna mwenye hofu na umoja party ila tunashangaa muundo wake wahusika waliomo🤔
Hao wahusika waliomo umewajuaje? Hata kama kweli umewajua, tatizo liko wapi kwani mtu ana uhuru wa kujiunga na chama akitakacho. Aidha, hakuna sababu ya kushangaa muundo wa chama kwa kuwa walioanzisha wanataka muundo huo. Wewe ridhika na muundo wa chama chako na hao waachie mambo yao.
 
We nae na Elimu yako kumbe brainwash tu.
Kosoa kwa hoja wewe mwenye Elimu kubwa!!

Ni hivi.... Kadanganyeni hao wasio na Elimu ambao kwa sasa ni 20% tu ya WaTz ila wenye basic education wanajua JPM alikua anaua uchumi wa muda mrefu hasa private sector ambayo inaajiri zaidi ya 80% ya working population.
 
Ccm watajidai hawastuki lakini ukweli wafuasi wa magufuli wakijitenga kuanzisha chama chao kama inavyoonekana ccm itaanguka chali tumbo juu. Hao wataalam wao wa kuiba kura nape nnauwe na makamba kipara ngoto wstashindwa kuiba mamilioni ya kura kupata ushindi. Hapo ndipo tutaona ccm ikianza kutawala bila ridhaa ya wananchi kama hawatakua na ustaarabu kukabidhi dola.
Tofauti na uzushi wa chadema hapo ndio mtaiona ccm iliyoiba matokeo.
CCM inayopuuza itikadi yake ya kutetea maslahi ya umma lazima ianguke toka madarakani.
Alikuwepo mwenyewe 2020 na CCM haikutawala kwa ridhaa ya wananchi ndio iwe sasa ambapo hata aliyekua makamu wake anamsagia kunguni😂😂😂😂😂😂😂😂😂. Hizi ndoto za mchana muwe mnasimuliana wenyewe huko chato.
 
Nilikuwa nimekosa chama baada ya JPM R.I.P kukataliwa na kusemwa vibaya na chama chake na chadema!

Sasa Mimi rasimi Umoja Party
Wapuuzi tu wanaoubeza upepo wa Hayati JPM
Tayari ccm wanajinyea, chadema ndo kabisaa
Nilikuwa nakosa pa kupeleka kura yangu mkuu but hata kikipita lazima tukachukue kadi, fomu tugombee nafasi mbalimbali.

Nahisi hapa ndipo pa kutokea hasa kwenye uwenyekiti, udiwani na ubunge.

Nchi yetu sote hii haiwezekani asali walambe wachache.
 
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.

Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.

Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
Wanaenzi falsafa ya magufuli, mauaji, kuteka kuua kulawiti kutukana kupora na roho mbaya
 
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.

Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.

Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
Tupo amerika royal your tunarecodi muvi ya kumkashifu ibilisi, nduli mwendakuzimu aliyekufa kwa uzembe
 
Back
Top Bottom