kwakina itafakari hao watu serious wakowapi wakati CCM imejaa mafisadi.... Akijiondoa tu watamuanika madudu yote na ndio maana kina Membe na Sumaye walirudi coz maslahi yaliguswa so hakuna mwenye ujasiri wa kupambana na CCM kama ameshanufaika na mfumo.
Then CCM ni wanafiki mnoo niamini Mimi zaidi ya 70% ndani ya CCM walikua hawakubali JPM akiwemo aliyekua makamu wake ila walikua wanamchekea na kumpamba kinafiki tu. So usitegemee eti kuna so called sukuma gang.... wote njaa tu watamsifia Mama Samia then akitoka naye watamkashifu and on and on ndio CCM hiyo.
Then unasema CCM n CHADEMA ni wachumia tumbo it's fine ila kaa ukijua hivyo vyama vimetumia Zaidi ya miaka 30 kujijenga Kila kitongoji Tanzania. Unadhani now mpka 2025 hiko chama hewa kinaweza kufika huko kote na kupitia misuko suko ya CHADEMA bila kuyumba?? Hivi Mwenyekiti wake akipewa kesi ya ugaidi chama kitasurvive?
Kama founding members wote wa ACT walihamia CCM then hiki chama nacho kabla ya 2025 wote watakua CCM wakisubiri teuzi tu.