Mingoi
JF-Expert Member
- Jul 21, 2012
- 11,715
- 6,122
Mod nilinde naona wananchi wenye haisra kali wameanza kunivamiaWewe si ulikwenda Chadema na mafuriko ya Lowasa? au mnadhani records hazipo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mod nilinde naona wananchi wenye haisra kali wameanza kunivamiaWewe si ulikwenda Chadema na mafuriko ya Lowasa? au mnadhani records hazipo?
Ukimaliza kupost kapime sukari na pressure naona ujio wa UMOJA umekusababishia maradhiTunahitaji kuwa watu wanaofikiri, kuamua na kutenda kwa sababu ya maslahi mapana ya jamii yetu na taifa kwa ujumla.
Demokrasia sawa, pia akili zetu zitumike katika hiyo demokrasia.
Siasa za ufuasi wa kinyumbunyumbu ziepukwe. Umasikini wa taifa unatokana na kukosa fikra sahihi.
Labda mbadili ID, lakini si kwa ID hizi hizi za kugangia njaa mtegemee kuja kulaghai watu wenye akili timamu.Mod nilinde naona wananchi wenye haisra kali wameanza kunivamia
Kupata vichekesho vingine kama hivi tunabonyeza ngapi? 😄😄Wakati wa Nuhu.
Nuhu alipokuwa akijenga safina watu walimpuuza sana lakini siku iliponyesha mvua na maji yakajaa kila kona ndipo watu akili zilipowakaa vizuri watu wa wakati ule.
Tangu atutoke JPM, Baba, mambo yanakwenda ovyo kabisa. Kila watu wakijaribu kupiga kelele kukemea mwenendo wa ovyo unaoendelea sasa, watu wanakuja na majibu mepesi kama manyoya.
Sasa chama kipya ( Umoja Party) kimeshaanzishwa.
Chama hiki kitakuwa na wafuasi wengi haijapata kutokea.
Shina la CCM hilo siwezi kuamini magenge ya utapeli ya CCM.Utawajua muda ukifika wala usihofu
Mimi ni raia mwenye fikra huru, najiunga na chama kwa sababu ya itiikadi na sera kwa ajili ya vizazi vijavyo.Ukimaliza kupost kapime sukari na pressure naona ujio wa UMOJA umekusababishia maradhi
Tatizo unatumia nguvu kubwa sana kutaka kuizima hoja ya chama kipya, tatizo nini mkulungwa?Upumbavu ni kipaji, Sukuma gang ni wapumbavu.
Tena inaonekana masukuma gang hamjawahi kujuwa Nyerere alikuwa ni mzalendo wa viwango gani.
Msimamo wangu mimi ni akili yangu halafu nitake radhi sijawahi kuwa katika chama cha kihunihuni.
Ndio chama pekee ambacho kitaleta upinzani wa kweli. Sio hawa chadema wanashirikiana na CCM kuturnish image ya Magufuli.Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.
Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhirifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.
Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
Yeye hakumpenda mama yake, maana hakuzikwa nae?
Upinzani upi? CHADEMA bungeni hawana simile walipigania maslahi ya waTz kwenye Kila bunge na miswada Hilo liko wazi kabisa na ndio iliibeba CHADEMA.Ndio chama pekee ambacho kitaleta upinzani wa kweli. Sio hawa chadema wanashirikiana na CCM kuturnish image ya Magufuli.
Nimeshakwambia in politics every event is an opportunity kama uta take advantage na utaikuza suala lolote like kubwa.Nakuuliza kitu kingine unajibu kitu kingine
hivi unaweza kutumia mtu/kitu kisicho na ushawishi ili kujibrand?/kujitangaza?
Unafahamu kwanini makampuni yanamtumia DIAMOND kutangaza products zao na si OMMY DIMPOZ?
NB:
Kwahiyo wewe unaamini kwamba Lissu alikuwa na nguvu /ushawishi kuliko JPM katika uchaguzi uliopita?
Tatizo Elimu ndogo huwezi elewa, alikua sana uchumi wa muda mrefu maana mzunguko wa pesa (Currency in circulation + Demand Deposits) zilishuka sana kwa sababu ya biashara kufungwa na serikali kuingilia private sector na pia kufanya biashara rejea kulazimu TTCL na Air Tz ziwe competitors.Mbona husemi wazi namna hayati JPM alivobana mafisadi na kufanya
Hawa ni wanafiki tu, wanataka watembelee jina la magufuli baada ya kuona hawana chao tena ndani ya ccm na ukiangalia waliompenda magufuli ni wale wenye roho mbaya wale waliofurahi wenye navyo kunyanyaswa na magufuli lakini kiuhalisia kwenye utawala wa magufuli umasikini ulishamiri sana.Kweli wameshindwa kuja na strategy mpya...eti wanataka kupitia nyota ya Magufuli??? Mwacheni baba wa watu apumzike kwa amani, kusema Magufuli na Wanyonge ni kapu moja...
Wajinga wa jiwe umebakia weye na ngedere wenzio wachache.Haya,mkatambike kaburini sasa.Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.
Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhirifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.
Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
Kwa mazingira ya kipindi kile ulitarajia nini? Maana sekta binafsi ilikuwa imeoza. Kampuni inalipwa mabil ya pesa bila hata kufanya kaziTatizo Elimu ndogo huwezi elewa, alikua sana uchumi wa muda mrefu maana mzunguko wa pesa (Currency in circulation + Demand Deposits) zilishuka sana kwa sababu ya biashara kufungwa na serikali kuingilia private sector na pia kufanya biashara rejea kulazimu TTCL na Air Tz ziwe competitors...