Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Al

Alikua na nguvu akakimbilia Ubalozi wa Ujerumani! Wenye nguvu ni kina Amolo walioilazimisha serikali ya Kenya ikafanya hand shake nao.

Kuna mtu ambaye hajui CDM na Lissu 2020 walisaidiwa na CCM anti Magufuli?!!

Huwa wanapenda tu kujifurahisha na kujifariji humu mitandaoni,ila ndani ya nafsi zao ukweli wanaujua!!
 
Mwanasiasa anayedhani kuanzisha Chama kipya ndiyo solution ya matatizo waliyonayo Watanzania ni mjinga sisemi ni mpumbavu!
Watanzania wengi hawajitambui hivyo si lazima kuanzisha Chama kipya ndo uwaamushe!
Angalia press ya Waziri Bashe na wale wahindi wa Mbolea juzi ndo utajua ninachoongea!
Waziri Bashe anawabembeleza wale wezi warudishe elfu 30 walizowaibia wakulima kwa kila mfuko wa Mbolea badala ya kutaifisha Mbolea yao yote na kuwatupa lupango kama wahujumu uchumi wengine!
Fight from within is better kuliko kuanzisha tu vyama vya ajabu ajabu!
Kwa ubinafsi wa vyama vya kisiasa vilivyopo ni ngumu sana kupambana from within.
CCM Ina makambale ambao huwezi kupenya kwa namna yeyote na kwa sasa inatumiwa kama brush la kunyonya watanzania

CHADEMA wao kuna watu wamewekeza vingi na kuimiliki kama mali binafsi, bahati mbaya sana pia wamekataa kubadilika kutoka kwenye uharakati walioufanya vema sana kwa miaka yote waliyo pambana na kuwa chama cha siasa tayari kwa kukamata Dola. Wao kwenye mindset zao kila kitu ni kinyemu na mawazo yao ni adui kwao.

Tutajitahidi kwa kila namna UP itengeneze daraja la pamoja kuifikia Tanzania iliyokuwa ndani ya fikra za Magufuli yenye maendeleo na ustawi endelevu na mfano wa kuigwa kwa nchi zote Africa.
Tanzania ni nguzo ya Africa kwa uwezo wa Mungu tutasimama juu ya kilele cha Kilimanjaro
 
Watu wanaidharau chadema na kufikiri kupambana na CCM Ni jambo la siku moja, haya Bwana yetu macho. Maana ili mchukue dola lazima mpambane na CCM sio CHADEMA.
Kosa la 2015 halirekebishiki
 
Nasubiri mwongozo mkuu, mbona kitaani huku ni ndelemoo!!!

Woyoo woyoo!!
Ila naamini mnajua vizuri swala la timing, na hali ya hewa ya kisiasa, kama huu ni muda mzuri wa kuzungumza na wananchi kutokana na ccm kuharibu uchumi wa taifa , basi fanyeni hivyo sasa, jitokezeni na hamtatumia nguvu kubwa sana kuwaelimisha wananchi , kila mtu anona mtaani ; lakini mkisubiria zaidi hamjui nao wanatapatapa wajikwamue vipi hapo walipo, japo mnafanya mandalizi muhimu bado ila mjitahidi kuzingatia hilo,
 
Kwani yesu au muhamadi sio marehemu?vp bado unafuata waliyofundisha?
Wewe kama umelewa bangi za Chato nenda kalale yatima wewe.

Msingi wa Ukristo Yesu alisurubiwa, akafa, akazikwa siku ya tatu akafufuka katika wafu, akapaa mbinguni. Yesu yu hai.

Usimfananishe Yesu na hiyo takataka yenu ya Chato ipo kuzimu.
 
Wewe chizi ulimuona huyo yesu wakati anafufuka na kupaa?
 
Chama Cha watumia nguvu na majambazi?!

Polepole,makonda, mpina, Bashiru, sabaya + kalemani ambaye 2025 jimbo analikabidhi kwa msomi Benedict mhadhili wa mzumbe!.
 
Kiuhalisia ni kwamba Baba wa Taifa alikua ni mtabiri wa mambo. Aliwahi kusema CCM itadondoshwa na wanaotoka ndani ya chama. Hiki chama kinalitimiza hili.
 
Mwanasiasa anayedhani kuanzisha Chama kipya ndiyo solution ya matatizo waliyonayo Watanzania ni mjinga sisemi ni mpumbavu!
Watanzania wengi hawajitambui hivyo si lazima kuanzisha Chama kipya ndo uwaamushe!
Angalia press ya Waziri Bashe na wale wahindi wa Mbolea juzi ndo utajua ninachoongea!
Waziri Bashe anawabembeleza wale wezi warudishe elfu 30 walizowaibia wakulima kwa kila mfuko wa Mbolea badala ya kutaifisha Mbolea yao yote na kuwatupa lupango kama wahujumu uchumi wengine!
Fight from within is better kuliko kuanzisha tu vyama vya ajabu ajabu!
Ndio maana kinatakiwa kianzishwe chama chenye falsafa za Magu ili vitendo kama hivyo viwe vinafanyika
 
Kiuhalisia ni kwamba Baba wa Taifa alikua ni mtabiri wa mambo. Aliwahi kusema CCM itadondoshwa na wanaotoka ndani ya chama. Hiki chama kinalitimiza hili.
Pia Mwalimu alisema...
Kwa hi katiba yetu, inampa Rais mamlaka makubwa mno, ikitokea tukapata Rais halafu akakengeuka kidogo tu anakuwa zaidi ya mfalme.

Akatokea Jiwe akatumia huo mwanya kunyoosha watu na Sasa Bin tozo atawasomesha namba waliokuwa hawataki katiba mpya na kwakuwa analijua hilo kwa katiba hii ushindi ni guaranteed hata Kama Mimi ningekua Rais nisingebadili katiba labda kuwaonea huruma nabadili mihula wa pili nikikaribia kuachia madaraka.
 
Lile libaba lilifanikiwa kutengeneza ukabila ila hao sukumagang hawatafika kokote kwa sababu ya umbumbu wao wa kutegemea waganga
No wonder baba yako alitaka kukuua...

How disgusting! 🚮
 
Back
Top Bottom