Sasa nyankurungu Ccm iogope hicho chama kwani hicho chama kina nini?Kwamba kumbe hayati JPM alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.
Umoja party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhirifu na wananchi wa kawaida
Kwa nini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?