Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Nyankurungu2020

JF-Expert Member
Joined
Oct 2, 2020
Posts
4,170
Reaction score
6,757
Kwamba kumbe Hayati Magufuli alikuwa anakubalika na wengi. The majority ya wananchi wanyonge ambao hata mumchafue vipi kwao yeye hachafuki maana wanajua kazi aliyoifanya kwa taifa lake.

Umoja Party tayari imeshazichanga karata na inakwenda kuzoa lundo la wafuasi wapinga ufisadi na ubadhilifu na wananchi wa kawaida wenye uchungu na taifa lao.

Kwanini mnaanza kutapatapa mapema namna hii?
 
Nilikuwa nimekosa chama baada ya JPM R.I.P kukataliwa na kusemwa vibaya na chama chake na chadema!

Sasa Mimi rasimi Umoja Party

Wapuuzi tu wanaoubeza upepo wa Hayati JPM

Tayari ccm wanajinyea, chadema ndo kabisaa
 
Wakati huo huo usisahau kufata ushauri wa Mzito Kabwela.
Ushauri 🐒👇

 

Magufuli hajawahi kukubalika basi to mnalazimisha Watu waongee uongo. 2015 alipata asilimia 57 Kura chache kuliko mgombea yeyote wa CCM kwenye nafasibya urais. Na 2020 akaamua kuiba na kuharibu uchaguzi na kutokana na hayo dhambi ikabidi karma iondoke naye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…