Hofu yenu kwa Umoja Party ni jibu tosha

Ccm watajidai hawastuki lakini ukweli wafuasi wa magufuli wakijitenga kuanzisha chama chao kama inavyoonekana ccm itaanguka chali tumbo juu. Hao wataalam wao wa kuiba kura nape nnauwe na makamba kipara ngoto wstashindwa kuiba mamilioni ya kura kupata ushindi. Hapo ndipo tutaona ccm ikianza kutawala bila ridhaa ya wananchi kama hawatakua na ustaarabu kukabidhi dola.
Tofauti na uzushi wa chadema hapo ndio mtaiona ccm iliyoiba matokeo.
CCM inayopuuza itikadi yake ya kutetea maslahi ya umma lazima ianguke toka madarakani.
 
Bwana Paulsylvester Chama hata usajiri bado hakijapata tayari kimeshaanza kuogopwa? Kwa lipi? kinakuja na nini?

Ccm chama dola chama dume ndio kiogope Umoja party kweli?
Kitaogopwa kwa Sera nzuri zenye kubeba maslahi ya wananchi na nchi yenyewe.
 
We nae na Elimu yako kumbe brainwash tu.
 
Hakuna mwenye hofu na umoja party ila tunashangaa muundo wake wahusika waliomoπŸ€”
Hao wahusika waliomo umewajuaje? Hata kama kweli umewajua, tatizo liko wapi kwani mtu ana uhuru wa kujiunga na chama akitakacho. Aidha, hakuna sababu ya kushangaa muundo wa chama kwa kuwa walioanzisha wanataka muundo huo. Wewe ridhika na muundo wa chama chako na hao waachie mambo yao.
 
We nae na Elimu yako kumbe brainwash tu.
Kosoa kwa hoja wewe mwenye Elimu kubwa!!

Ni hivi.... Kadanganyeni hao wasio na Elimu ambao kwa sasa ni 20% tu ya WaTz ila wenye basic education wanajua JPM alikua anaua uchumi wa muda mrefu hasa private sector ambayo inaajiri zaidi ya 80% ya working population.
 
Alikuwepo mwenyewe 2020 na CCM haikutawala kwa ridhaa ya wananchi ndio iwe sasa ambapo hata aliyekua makamu wake anamsagia kunguniπŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚. Hizi ndoto za mchana muwe mnasimuliana wenyewe huko chato.
 
Nilikuwa nimekosa chama baada ya JPM R.I.P kukataliwa na kusemwa vibaya na chama chake na chadema!

Sasa Mimi rasimi Umoja Party
Wapuuzi tu wanaoubeza upepo wa Hayati JPM
Tayari ccm wanajinyea, chadema ndo kabisaa
Nilikuwa nakosa pa kupeleka kura yangu mkuu but hata kikipita lazima tukachukue kadi, fomu tugombee nafasi mbalimbali.

Nahisi hapa ndipo pa kutokea hasa kwenye uwenyekiti, udiwani na ubunge.

Nchi yetu sote hii haiwezekani asali walambe wachache.
 
Wanaenzi falsafa ya magufuli, mauaji, kuteka kuua kulawiti kutukana kupora na roho mbaya
 
Tupo amerika royal your tunarecodi muvi ya kumkashifu ibilisi, nduli mwendakuzimu aliyekufa kwa uzembe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…