Chagu wa Malunde
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 8,734
- 5,750
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.
Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara nyingi huhitaji majibu au masahihisho ili kuweka mambo sawa.
Taarifa aliyosoma CAG hivi majuzi sio conclussive report kuwa kuna ufisadi ulifanyika. Bali ni hoja za kiukaguzi ambazo zinatilia mashaka baadhi ya miamala. Majibu yakikosekana juu ya uhalisia wa kilichofanyika hapo ndipo utapata jibu kuwa ni ufisadi.
Lakini jambo la ajabu unakuta mpumbavu na mpuuzi anag'ag'ania jambo bila kutumia akili na kutumia nguvu nyingi kuropoka upuuzi huku hafahamu lolote.