Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

Hoja alizoibua CAG sio ufisadi mpaka zikose majibu

Kwanza pole sana mchato mwenzangu, hii hali kweli inatuumiza sana wachato yaan kila cku wanapiga makelele tulikua mafisadi kweli? Wakati dunia nzima hakukua na wazalendo kama sisi awamu ya gwara. If you can't fight em then join em!! No way out, BTW unapoweka pesa yako mezani hapo nyumban kwako unaingia kuoga ukitoka unakuta pesa haipo je hapo utasema pesa yako imeenda kutembea then itarud? Au imeibiwa hapo ndan kwako na waliopo? Vitu vingine havihitaj akil kujua unapofanya auditing then unagundua kuna pesa haionekan au matumiz hayaendani na pesa bas kuna wizi humo!!! Wamisha kineh!!
Wewe jamaa akili kubwa sana
 
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.

Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara nyingi huhitaji majibu au masahihisho ili kuweka mambo sawa.

Taarifa aliyosoma CAG hivi majuzi sio conclussive report kuwa kuna ufisadi ulifanyika. Bali ni hoja za kiukaguzi ambazo zinatilia mashaka baadhi ya miamala. Majibu yakikosekana juu ya uhalisia wa kilichofanyika hapo ndipo utapata jibu kuwa ni ufisadi.

Lakini jambo la ajabu unakuta mpumbavu na mpuuzi anag'ag'ania jambo bila kutumia akili na kutumia nguvu nyingi kuropoka upuuzi huku hafahamu lolote.
Mpaka CAG anatoa report kwenda kwenye mihimili ujue hoja zimekosa majibu huko zilikokaguliwa. Baada ya ukaguzi huwa kuna exit meeting ambapo mkaguliwa lazma atoe majibu ya queries zote zilizoibuliwa na mkaguzi.

Nadhani wewe mleta uzi ndo hujaelewa vema..punguza jazba.

Sent from my SM-G935U using JamiiForums mobile app
 
Unaleta pumba? Hoja hapa ni kama audit querries ni ufisadi we unaleta ngonjera.
Audit queries ambazo hazielewek or hazina majib always zinakwenda bungeni! Kwanza mbona kama unapamban kuliko uwezo wako ili kulinda legacy? Kuna vitu ambavyo havifichiki mfano..pembe la ng'ombe!! Think about it
 
Acha PAC na LAAC watoe majibu.
 
Upuuzi ni ile hali ya kutotumia busara muda wote na kujadili ujinga ili hali unatakiwa kujadili masuala ya msingi.

Utaratibu wa kufanya auditting unajulikana dunia nzima. Mkaguzi huibua hoja anapokuwa anafanya kaguzi. Hoja hizi mara nyingi huwa ni mashaka juu ya muamala uliofanyika na mara nyingi huhitaji majibu au masahihisho ili kuweka mambo sawa.

Taarifa aliyosoma CAG hivi majuzi sio conclussive report kuwa kuna ufisadi ulifanyika. Bali ni hoja za kiukaguzi ambazo zinatilia mashaka baadhi ya miamala. Majibu yakikosekana juu ya uhalisia wa kilichofanyika hapo ndipo utapata jibu kuwa ni ufisadi.

Lakini jambo la ajabu unakuta mpumbavu na mpuuzi anag'ag'ania jambo bila kutumia akili na kutumia nguvu nyingi kuropoka upuuzi huku hafahamu lolote.
Sikia jamaa yangu labda kama hujui kitu,mkaguzi hutoa hoja za kiukaguzi na kuwapa wahusika ili wajibu,wapojibu akiridhika huwa anaondoa hoja hizo,baada ya hapo sasa,ndipo hutoa hadharani ripoti yake,na akishaitoa huwa ni final,kinachobaki ni hatua tu kuchukuliwa na wahusika,hivyo hiyo ripoti ya c.a.g ni final report
 
CAG huwa anaimba ngojera tu wenzake wanapiga pesa na hakuna hatua zinazochukuliwa na mwakani atakuta tena madudu.
Sijui nini maana ya. Auditing zaidi ya serikali kujivua nguo kwa wananchi. Sijawahi ona watu wamewahi chukuliwa hatua kwa ripot ya CAG
 
Back
Top Bottom