Kama ameshindwa hata kuelewa kilichoandikwa kwenye Tweet hapo juu utamuelewesha nini hadi aelewe?Mkuu sheria inasema zipite huko au ni utaratibu tu wa kimazoea waliojiwekea wanaccm maana naona hiyo tweet ya Chadema na maelezo yako haviendani
Hivi Lisu aliwezaje kupita huko alikopita kutafuta wadhamini kwa msafara?Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi
Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif
Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC
Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema
Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani
Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao
Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Ruzuku walikuwa wakiimalizia maliziaHivi Lisu aliwezaje kupita huko alikopita kutafuta wadhamini kwa msafara?
Au hizo hela zilizotumika ulizitoa wewe?
hakoseagiMgombea wa CCM alipita lini?
Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi
Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif
Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC
Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema
Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani
Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao
Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Kwani uliwahi kumuona au kumsikia kwamba leo kaenda Tanga,Arusha, Mbeya, Mara,Kagera kutafuta wadhamini? Miimi siwafanyi wajinga kama Lissu anavyowafanya wajinga kwa kujifanya yeye tu ndo anaona Magufuli alichofanikiwa ni Kujenga Uwanja wa Ndege Chato na kuanzisha mbuga ya anyama Buligi wakati Watanzania wote tunaona yote aliyoyafanya ambayo hayaelezekiUsitufanye wajinga, inamaana tulikuwa hatumuoni?
Uhakiki unaweza kufanyika both at NEC HQ or regional offices of returning officers! I stand to be corrected if i am wrong!Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Tuambie shibuda alienda lini kwa wakurugenzi kuhakiki? Msijitoe ufahamu Kama unafahamu hao wengine walienda lini tuambie siyo kuuliza wa CCM tu.Yule wa CCM alienda lini kwa wakurungezi kuhakiki? shame on you
Ni mjinga alijua hawezi kushinda urais akatafuta sababu akatwe tume wakashtuka wakamwacha asipate Kiki.Hakuna sheria inayosema uhakiki ufanyike kwenye majimbo...Lissu sio mjinga!
Unaandika meengi lkn takataka tu, ungeandika hata mistari miwili.Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi
Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif
Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC
Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema
Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani
Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao
Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
sasa kilichowaweka mpaka ucku wa manane mmebanaaa mmeachia sasa hiyo busara ni ipi lengo lenu tulilijua tangu mwanzo ila mmechemka shwain nyieJaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.
Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?
Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?
Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi
Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
Acha uongo .kwa maelezo ya msemaji wa Tume wagombea nafasi ya Uraisi walitakiwa kuhakikiwa kwenye majimbo au moja kwa moja Tume ya uchagzi kuanzia tarehe21 mpaka25 wahiyo hakuna tatizoJaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.
Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?
Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?
Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi
Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
Kuna wakati nilikuwa namsikia Bw Zitto Kabwe akisema Chadema na ACT-Wazalendo watasimamisha mgombea mmoja tu wa Uraisi wa Tanzania.Na amekuwa anarudia rudia mara kwa mara.Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi
Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif
Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC
Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema
Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani
Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao
Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Magufuli alikwenda lini mikoani kuhakiki form zake?Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.
Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?
Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?
Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi
Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
akikujibu nijulishe comradeMkuu kabla ya kulaumu na kushutumu unaweza kuiweka hiyo kanuni hapa?
Mzee wa kupindisha habari... kamwe hawakuambii kinachoendelea.Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.
Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?
Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?
Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi
Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
Kanuni gani unazozizungumzia? Hebu tuwekeeJaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Wewe mburukenge una unafiki uliovuka mipaka.Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu