Uchaguzi 2020 Hoja binafsi: Jaji Kaijage apongezwe kwa busara zake zilizombeba Tundu Lissu, busara zaidi itumike kuepuka sintofahamu za makusudi kwenye Uchaguzi

Hata Lisu Baada ya kutangazwa mgombea body language ya uso wake haikuwa na furaha kabisa Kama ilivyo kawaida yake akishinda kitu alikuwa Hana furaha kabisa akionyesha uso as if something is missing somewhere wataalamu wa body language pitieni ile video yake Baada ya kutangazwa
 
Mkuu sheria inasema zipite huko au ni utaratibu tu wa kimazoea waliojiwekea wanaccm maana naona hiyo tweet ya Chadema na maelezo yako haviendani
Kama ameshindwa hata kuelewa kilichoandikwa kwenye Tweet hapo juu utamuelewesha nini hadi aelewe?
 
Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi

Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif

Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC

Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema

Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani

Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao

Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Hivi Lisu aliwezaje kupita huko alikopita kutafuta wadhamini kwa msafara?

Au hizo hela zilizotumika ulizitoa wewe?
 
Kwel we n zumbukuku

Usitufanye wajinga, inamaana tulikuwa hatumuoni?
Kwani uliwahi kumuona au kumsikia kwamba leo kaenda Tanga,Arusha, Mbeya, Mara,Kagera kutafuta wadhamini? Miimi siwafanyi wajinga kama Lissu anavyowafanya wajinga kwa kujifanya yeye tu ndo anaona Magufuli alichofanikiwa ni Kujenga Uwanja wa Ndege Chato na kuanzisha mbuga ya anyama Buligi wakati Watanzania wote tunaona yote aliyoyafanya ambayo hayaelezeki
 
Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Uhakiki unaweza kufanyika both at NEC HQ or regional offices of returning officers! I stand to be corrected if i am wrong!
 
Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi

Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif

Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC

Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema

Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani

Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao

Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Unaandika meengi lkn takataka tu, ungeandika hata mistari miwili.
 
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.

Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.

Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?

Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?

Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi

Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
sasa kilichowaweka mpaka ucku wa manane mmebanaaa mmeachia sasa hiyo busara ni ipi lengo lenu tulilijua tangu mwanzo ila mmechemka shwain nyie
 
Acha uongo .kwa maelezo ya msemaji wa Tume wagombea nafasi ya Uraisi walitakiwa kuhakikiwa kwenye majimbo au moja kwa moja Tume ya uchagzi kuanzia tarehe21 mpaka25 wahiyo hakuna tatizo
 
Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi

Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif

Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC

Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema

Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani

Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao

Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Kuna wakati nilikuwa namsikia Bw Zitto Kabwe akisema Chadema na ACT-Wazalendo watasimamisha mgombea mmoja tu wa Uraisi wa Tanzania.Na amekuwa anarudia rudia mara kwa mara.
Kumbe Plan B walikuwa nayo.Sasa katika masaa yaliobaki labda kuna Plan C.
Kuna mtihani mkubwa kwa Lissu kusuka upya safu nzima ya mashambulizi.Awatafute akina Professor Safari,na Professor Baregu wampe mikoba ya utu wazima.
 
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.

Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.

Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?

Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?

Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi

Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
Magufuli alikwenda lini mikoani kuhakiki form zake?
 
maelekezo ya Tume ndiyo yaliwaelekeza ifuatavyo:
4.7. Msimamizi wa Uchaguzi Kuthibitisha Wadhamini wa Mgombea

Wagombea au wadhamini wao watawasilisha fomu zao kwa Wasimamizi

wa Uchaguzi wa jimbo ili watoe uthibitisho wa wadhamini. Hivyo, Tume

inamwelekeza Msimamizi wa Uchaguzi katika kila jimbo ambalo

wadhamini wametoka kutoa uthibitisho wa wadhamini hao kwa kujaza

sehemu husika katika Fomu Na. 8A kwa kuweka jina kamili, saini na

muhuri wa Msimamizi wa Uchaguzi.
Hakuna sheria inapotamka hivyo, ila ni vizuri kuhakiki wadhamini, ila wahakikiwe wapi, ni maelekezo ya tume. Kuna mahali nilisikia wanasema Chadema wame-opt kuhakikiwa na tume na ndiyo maana wakachukua muda mrefu, Wengine wali -opt kuhakikiwa kwa wasimamizi wa uchaguzi (majimboni). Nadhani indiyo maana tume iliona hilo lisiwe pingamizi la kutomteua mgombea, Kosa ni kama hana wadhamini, lakini kwamba anao ila hawakuhakikiwa kwenye majimbo! Isiwe nongwa
 
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.

Ajabu ni kwamba Mhe Tundu Lissu hakufanya hivyo iwezekana hakujua ama alijua Ila tu ni kiburi na kutaka kuonyesha umwamba mbele ya Tume ya uchaguzi. Kikawaida hapa alitakiwa kukatwa moja kwa moja kwasababu tayari ameshavunja kanuni lakini busara za Tume zimembeba.

Mwanasheria makini msomi na mjuaji Kama Tundu Lissu unawezaje kuvunja kanuni muhimu kama hii? Je hapo angakuta baadhi ya wadhamini ni hewa ingekuwaje ?

Hii inatoa picha kuwa kuna tatizo kubwa sana kwa hawa wagombea wa CHADEMA kwenye utaratibu wa ujazaji wa fomu za Ubunge na udiwani. Hawa wagombea wa ccm wanao pita bila kupigwa si kwamba ni mchezo mchafu wa ccm bali ni uzembe unao fanywa na wagombea wenyewe wa CHADEMA.
Kama imewezekana kwa Rais mtarajiwa kufanya kosa la kiufundi kama hili kwa wabunge je haitakuwaje?

Kama Lissu angekatwa na Tume asingekuwepo wa kulaumiwa makosa ni yake mwenyewe.
Kisha CHADEMA bila aibu wanakuja kusema hivi

Kibaya zaidi mhe Tundu Lissu bila kujali busara zilizotumiwa na Tume bado ametoa lawama nyingi kuwa kwanini amekalishwa masaa mengi kwenye uhakika wakati mhe Rais Magufuli alitumia muda mchache Kama ilivyopangwa.
Mzee wa kupindisha habari... kamwe hawakuambii kinachoendelea.

Ila watajitokeza kwa vyombo vya habari na kutangaza wanaonewa. Afadhali Mbowe ana busara.
 
Jaji Kaijage na team yake ya Tume ya uchaguzi kama si busara zao za kukubali kufanya uhakiki wa wadhamini wa mgombea urais Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia CHADEMA mhe Tundu Lissu jambo ambalo kikanuni lilipaswa kufanyika kwenye ofisi za majimbo za Tume ya uchaguzi basi ni dhahiri Lissu alitakiwa kutopitishwa na Tume.
Kanuni gani unazozizungumzia? Hebu tuwekee
 
Jaji Kaijage Ni Jaji hasa alichokifanya Chadema hawaamini macho Yao kapangua mipango ya Chadema kisayansi kamati kuu
Chadema walikuwa ndumila kuwili walikuwa hawamtaki Lisu awe mgombea uraisi walimtaka Nyalandu na hawakutaka arudi

Kinafiki wakampitisha ili kukiondoa lawama apigiwe kura baraza kuu wakiamini Nyalandu kafanya kampeni ya kutosha atamshinda lakini baraza kuu likapiga kura za kinafiki pia kumpitisha wakijua kuwa Tume ya uchaguzi watamwengua tu ndio maana kukawepo kelele za kinafiki za akina Mbowe kutishia tume kuwa isimwengue Lisu wakitaka na sababu kumbe lengo lilikuwa kuiambia tume mwengueni huyo Lisu kwa sababu hizi!!! Chadema viongozi wa juu wakishaingia makubaliano ya Siri na ACT wazalendo kuwa Lisu akienguliwa wamuunge mkono Membe ambaye kwao ni mtu mwenye pesa ambaye angesaidia Chadema kifedha na kulipa chama influence Zanzibar sababu ya kuwa na Maaalim Seif

Tumaini la mwisho lililokuwa limesalia kwa Chadema kuhusu kukatwa jina lilibaki kwa NEC

Jaji Kaijage kapeleka kilio kwa CHADEMA kwa kuwapa my wasiyemtaka kakwepa zigo walilomtupia ili wajikoshe kuwa ni msajili ndio kamkakata sio wao Chadema

Kifupi Lisu wasiyemtaka huyo kaja kazi kwao
Nini kitakachoendelea Baada ya Lisu kuteuliwa ? Ni kuwa atapata supposed ndogo Sana ya kifedha na ki kampeni toka kwa Viongozi wa chadema kwa kisingizio kuwa na wao wako kwenye kampeni kwenye majimbo Yao hivyo apambane na hali yake yeye Kama yeye binafsi .Hivyo aniandae kwa kazi nzito ya kuji ratibia mwenyewe mikutano yake na hapo ndipo.penye kazi kubwa kunahitajika timu.kubwa mno ya watu wengi vifaa vingi na gharama kubwa Sio utani

Namuona Lisu Kama mgombea binafsi asiye na support ya chama ndani ya Chadema ambaye kila kitu atajitegemea mwenyewe kwenye kampeni sababu chama pia hakina hela na Viongozi wengine wanapigania majimbo.yao

Jaji Kaijage katibua mipango yote ya ACT wazalendo na Chadema kwa mpigo kwa kumpitisha Lisu
Wewe mburukenge una unafiki uliovuka mipaka.
 
Back
Top Bottom