Nimesema zipo njia nyingi. Binafsi ninaweza kusema kuwa awepo mwakilishi wa jaji mkuu atakayechaguliwa na jaji mkuu mwenyewe, mwakilishi wa Mkuu wa Majeshi atakayechaguliwa na mkuu wa majeshi mwenyewe, mwakilishi wa Waziri Mkuu atakayechaguliwa na waziri mkuu mwenyewe, mwakilishi wa Rais wa Zanzibar atakayechaguliwa na rais wa zanzibar mwenyewe, na mwakilishi wa vyama vyote vya upinzani atakayechaguliwa kwa pamoja na vyama vyote vya upinzani. Hiyo ni odd number ambayo kila mara itafikia consesus katika jambo lolote kwa simple majority. Ni swala la kuandika katiba vizuri tu; miundo mbalimbali inawezekana.