Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

Sio kulipwa bablai ila ameongea point sana yani Halima na kikosi chake wana hofu ya kushindwa ndo maana wanatunga tunga hoja dhaifu

Sent from my TECNO CX Air using JamiiForums mobile app
 
Mfano mzuri pale unavyokuwa shuleni , kwa sababu unakosoa makosa ya shule haimanishi wewe si mwanafunzi wa shule hiyo. Unapoona kosa halafu ukavumlia juwa kabisa wewe si mzalendo. Gwajima amekua mtu wa tofauti sana awezi kuvumlia ouvu wa aina yoyote.
 
Mbona unapata mshtuko wa moyo tulia kuwa mpole acha kuwa mtu wa kuongea utopolo tu kila siku
 
 
Hatutaki matapeli wa kiimani na wabaguzi wa watu. Who is Gwajima by the way. CCM hatutaki Watu wa sampuli hii bora tupoteze kura upinzani
 
Gwajima baba laooooooooo,jani ningumu na huwezi kumjua huyu jamaa akili yake wapinzani wamepagawa hawana hata hoja.
Nampigia kura Magufuli lakini siyo huyu Askofu fake anayetukana na kubagua watu. Mswaada CCM tusikosee
 
Maendeleo hayaji kwa maneno, Maendeleo yana kuja kwa vitendo.
ukitaka kujua hayo yote suburi

Wana Kawe tupo na Gwajima na sisi kama wana Kawe hatutaki maneno kama tuliyo yazoea kutoka kwa yule bibi asiye kuwa na wajuku. Kawe na Gwajami
 
MM CCM Ila Gwajima kura yangu hapati. Mliolipwa kumtetea hapa twawajua kwa majina na kwa bahati mbaya sana sio wapiga kura wake
 
Hivi kweli CCM tunataka tumpigie kura Gwajima? Kwa lipi aliblvyochafua chama chetu hivyoo? Fyeekelea mbali na uaskofu wake akachunge kondoo huko
 
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Kawe mpya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Maendeleo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
 
Eti Gwajima awe mbunge wa KAWE πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Gwajima oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Kawe mpya oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee, Maendeleo oyeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeeee
CCM hsty
CCM hatuchagu Gwajima. Mchague huko huko kanisani anakokutuma. 2025 tutaweka mtu sahihi bora sasa Mdee aendelee
 
MM CCM Ila Gwajima kura yangu hapati. Mliolipwa kumtetea hapa twawajua kwa majina na kwa bahati mbaya sana sio wapiga kura wake
wewe kama yuda utasaliti na bado utaongizwa tu. kipi kizuri kura au kuongozwa 😎😎😎😎😎😎
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…