Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

KAWE hatutaki wabaguzi wa kiimani na kikabila. Tunataka mtetezi wetu
 
Umeandika ujinga mwingi sana na kama Polepole atakulipa kwa.uzi huu itakuwa ni ufisadi tu.
 
Misukule ya Gwajima yote ina kitu kimoja "common".View attachment 1586703View attachment 1586702View attachment 1586706View attachment 1586704View attachment 1586705View attachment 1586707View attachment 1586708View attachment 1586709
2020_10_01_12.45.00.jpg
2020_10_01_12.45.14.jpg
 
Potezea kabisa huyu wakamalizane na Emaanel Mbashe na Bashite
 
Katika mambo ya msingi CCM waliyoweza ni kumpitisha Gwajima yaan anawamaliza upinzani mapema saana
 
Gwajima ni kiboko yao anawatoa jasho kweli na safari hii wameishiwa sera sisi tunaenda na sera wao wanaenda na porojo.
Gwajima hoyeeeeee??????
 
Gwajima kwa maendeleo ya vijana Kawe,wanawake wa Kawe,shule,biashara,fursa za maendeleo Kawe ni mwendo wa kicheko.
 
Gwajima ni mtu wa maendeleo lazima nimpe kura yangu
Naona kazi yako ni kuanzisha uzi na kukimbilia kutumia ID nyingine kuja kujijibu😁!
Kura pia utaenda kubadili ID ili upige tena???
Akili zenu zimebaki za kuvukia barabara tu!
 
Back
Top Bottom