Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

KAMA GWAJIMA ALIWEZA KUSHAWISHI MAELFU YA WATU WAKAOKOKA BASI NINA IMANI KUBWA SANA WANA KAWE WATASAIDIWA SANA ,KAWE IMEOENDELEWA SANA NA CCM
 
Kawe TUNAENDA NA GWAJIMA ,
HATUTAKI KUFANYA UPUUZI TENA
TUNAFANYA KWELI
 
YANI SISI TUNACHOJUA GWAJIMA NI MWANA CCM NA TAREHE 28 TUNAMCHAGUA
KWANI NYIE MAMBO YA CCM YANAWAHUSU NINI
 
Wananchaama na wafuasi wengi wa vyama vya upinzani ukiwa msema ukweli na mpinga ufisadi basi wanakuona wewe ni mpinzani na kwa upande mwingine si MWANA CCM kisa tu unasimamia ukweli.

Kama utakuwa mfuatiliaji wa hotuba mbali mbali na makemeo ya Mgombea wa CCM Jimbo la kawe utagundua ujasili wake katika kukemea maovu yanayokwamisha utekelezaji wa Maendeleo ya wananchi hiyo imepelekea kuonekana kuwa ni mpinzania lakini yeye ni mwana CCM zaidi ya wewe ulivyoanza kuwa CHADEMA au CUF au NCCR-Mageuzi maana wengi mtakuwa mlijiunga na upinzani miaka ya 2000 lakini Gwajima ni mwanaCCM kindaki ndaki wa muda mrefu na ameshiriki katika mikakati mbalimbali ya kukipigania chama.

Hivyo niwatowe hofu Gwajima so mpinzani na hajawahi kuwa mpinzani sababu ya uelewa mdogo wa baadhi ya wafuasi wa upinzani wasiojua harakati na historia ya mageuzi watakuwa wanafikiri Kama Gwajima ni mpinzani lakini ukweli si mpinzani.

Ukisema hivyo naomba mtujibu lini Nyalandu, Dr.Wilbrod Slaa, Godbless Lema, Freeman Mbowe, TUNDU LISU wamerudisha kadi za CCM na kujiunga upinzani maana kwenye rekodi bado ni Wana CCM ambao kadi zao hawazilipii kwa muda mrefu

Mfano kwenye rekodi TUNDU LISU kadi yake Mara ya mwisho inaonyesha amekoma kuililia 2002 Sasa huyu tunamuita Mpinzani au kibaraka wa CCM.

Pia kunawakati Dr. WILBROD SLAA alisema kadi take ya CCM na TANU zipo na anazilipia Hadi kesho alitamka akiwa CHADEMA

Hivyo msiyumbe kwa misimamo ya mtu mkayabepa kuwa ni mpinzani

GWAJIMA AMEWASHIKA PABAYA KAWE
Woyoooooooo!
Gwajima oyeeeeeeee!
Wataweza kweli? Ah wapi
 
Pia kunawakati Dr. WILBROD SLAA alisema kadi take ya CCM na TANU zipo na anazilipia Hadi kesho alitamka akiwa CHADEMA

GWAJIMA AMEWASHIKA PABAYA KAWE
Hiyo kadi ya TANU alikuwa anailipia kwa nani labda!
 
Ni maovu gani yaliwahi kukemewa na mzee wa sanaa, mzee wa misukule?
 
Labda wewe mwenyewe!
Kijani miaka yote maneno tu ila matumbo yao yanazidi kuvimba leo utuambie Gwajiboy! No way! Angalau angekuwa mwingine!
 
Nina hakika Gwajiboy hawezi kupata asili mia kumi Kawe labda kama tumelazwa usingizi!
Hata afanye campaign ngapi haitasaidia!
Ila akikupa hela kula na mpe kura Halima, Tundu na madiwani wa cdm!
We need change after almost 60 years!
Hamuoni kuwa we are suffocating????
 
Back
Top Bottom