Hoja dhaifu juu ya Gwajima lini alikuwa mwana CCM-usiachie mwiba unawachoma

KAWE hatutaki wabaguzi wa kiimani na kikabila. Tunataka mtetezi wetu
 
Umeandika ujinga mwingi sana na kama Polepole atakulipa kwa.uzi huu itakuwa ni ufisadi tu.
 
Kuna watu wao wakiamka tu asubuhi yaani huwa wamepagawa wewe aujioni kwenyeilo kundišŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰šŸ˜‰
Hatutaki wabaguzi tunataka watakaotuletea Maendeleo
 
Potezea kabisa huyu wakamalizane na Emaanel Mbashe na Bashite
 
Katika mambo ya msingi CCM waliyoweza ni kumpitisha Gwajima yaan anawamaliza upinzani mapema saana
 
Gwajima ni kiboko yao anawatoa jasho kweli na safari hii wameishiwa sera sisi tunaenda na sera wao wanaenda na porojo.
Gwajima hoyeeeeee??????
 
Gwajima kwa maendeleo ya vijana Kawe,wanawake wa Kawe,shule,biashara,fursa za maendeleo Kawe ni mwendo wa kicheko.
 
Wana Kawe October 28 tuna jambo letu kwenye sanduku la kura.
Kawe ya Kijani
Kawe ya Gwajima
 
Gwajima ni mtu wa maendeleo lazima nimpe kura yangu
Naona kazi yako ni kuanzisha uzi na kukimbilia kutumia ID nyingine kuja kujijibu😁!
Kura pia utaenda kubadili ID ili upige tena???
Akili zenu zimebaki za kuvukia barabara tu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…